PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Uchafu gani unazidi kuua maelfu ya Watanzania?
Dhambi hapa duniani sio kuuwa tu ww unaweza kuwa unamuona samia kama mchafu mbele ya mungu kwa sababu ya mauaji lakini kumbe na ww ni mchafu mbele ya mungu kwa sababu ya uzinzi,usengenyaji,udhurumaji,ushirikina,kuongea matusi,wizi, hivyo si vyema kujihesabia haki kwa sababu ya makosa mengine.
 
Anhaa kumbe
Lakini kibinadamu mkuu, kuua watu inabidi uwe na ukatili wa hali ya juu mno. Sisi ni binadamu, sio Mungu
Tunachukulia hili suala kibinadamu, kuua watu haijakaa poa kwa kweli. Binafsi mauaji ya October 29 yaliniharibu kisaikolojia, mpaka leo yananiumiza sana. Muda mwingine unaona watu wanatoa maneno machafu humu ndo kitu pekee wanaweza fanya kuonesha hisia zao, wengine ndugu zao wameuliwa hawawezi kulipiza kisasi wanaishia kulaani tu ila moyoni inauma, asikuambie mtu. Maishani mwangu sitakuja kuusahau huu mwaka, sikuwahi kufikiria kabisa haya mambo yatakuja kuikumba Tanzania, hatujazoea mauaji sisi 😢
 
Pia tz hatukuzoea vurugu za kuharibu miundo mbinu ya kiraia kuchomeana mali kwa misingi ya kisiasa hivyo kati ya serikali na waandamanaji hakuna mtakatifu wote ni waharifu na wote wana hatia mbele ya mungu.
Hizo hisia zibaki kibinadamu na sio kumusisha mungu maana yeye huwa haukumu kwa hisia bali ana hukumu kwa haki.
 
Hu mpambavu ,nilikwambia mwaka huu hakuna uchaguzi , aya nipinge mpaka sasa upo au haupo?
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba umeshafanyika oct.2025 kwa uhuru, uwazi na haki,
na washindi wa uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria wameshapatikana, na wameunda serikali na sasa wanaongoza Taifa kwa mujibu wa sheria.

uchaguzi mkuu mwingine wa Tanzania utafanyika 2030 kwa mujibu wa katiba, full stop. :NoGodNo:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hizo silaha ndio zinawatia kiburi kumbe sasa endeleeni kuomba Mungu hizo silaha wasishike wananchi maana tutawapukutisha kama changalawe
ulofa ndio unawafanya vijana kungamia kwa kukosa maarifa.

ni nonsense kupewa zawadi ya kua wa kwanza kuaposted mitandaoni na hoa useless activists, huku wazazi wakihangaka na zawadi ya matanga ya wanao majumbani :NoGodNo:
 
132767.jpg
akituma wawakilishi basi tetesi zetu zitakuwa za uhakika
 
Gentleman,
uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa mujibu wa katiba umeshafanyika oct.2025 kwa uhuru, uwazi na haki,
na washindi wa uchaguzi huo muhimu sana wa kihistoria wameshapatikana, na wameunda serikali na sasa wanaongoza Taifa kwa mujibu wa sheria.

uchaguzi mkuu mwingine wa Tanzania utafanyika 2030 kwa mujibu wa katiba, full stop. :NoGodNo:
Alafu mkashinda kwa asilimia 100, huku chama kikuu na chenye wafuasi wengi tz ,mwenyekiti wake akiwa remande, makamu wake ,akiwa remande hapo Mtumba Dodoma, sio rahisi , kuwafanya wa tz wote mazwazwa, ona sasa mnapolipeleka taifa, tz ipo katika wakati Mgumu haijawahi tokea
 
Kwan hicho chama unacho kisema kuna aliye kizuia kuingia kwenye uchaguzi au kilisusa chenyewe?
Yaani uingize nchi kwenye machafuko ili tu lisu na hehe wapate madaraka huo ni upumbavu wa kiwango cha rami.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kuna mtu Leo kaniambia jambo la kustua sana kuhusu bimkubwa......Wacha nikae kimya
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
Yupo kwenye mapango
 
Alafu mkashinda kwa asilimia 100, huku chama kikuu na chenye wafuasi wengi tz ,mwenyekiti wake akiwa remande, makamu wake ,akiwa remande hapo Mtumba Dodoma, sio rahisi , kuwafanya wa tz wote mazwazwa, ona sasa mnapolipeleka taifa, tz ipo katika wakati Mgumu haijawahi tokea
ukikiuka sheria unawajibishwa kwa mujibu wa sheria bila kujali hali yako gentleman.

Tanzania iko pale na haiendi popote chini ya serikali sikivu ya CCM

zingatia hilo na nenda ukawaambie na viongozi wa chama chako kuhusu hili gentleman. :NoGodNo:
 
Pumbavu sana ,siku nakutana na wewe uso kwa uso izo kengele zako nitazitafuna kama nakula kitimoto ya kuchoma , mnaraha gani kila siku jificha kwenye mahandaki , nipo dar tangaza game kati yangu na wewe na tukio liwe live, kama sitokutoa makamsi mapema, mjinga tu
 
Back
Top Bottom