PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hiyo kalenda inahusianishwa na nini, maana hata Magu naye ni Trh 17/3!

Mahakama ya MUNGU isiyopokea Rushwa na Wachawi na Waganga wote Duniani hawawezi kuzuia Haki ya mnyonge aliyeuwawa bila hatia ikapotea bila hukumu ya MUNGU kutoka kwa Muuaji aliyetoa oda kwa kisingizio cha kulinda Dola na Amani wakati Haki imenyimwa na wizi na ufisadi wa rasilimali za nchi za raia mnyonge zikibagazwa na watu wachache.

Kabla ya tarehe hiyo tunategemea hukumu ya MUNGU itoke kwa kuweka nusu mlingoti
 
Ni kawaida watu wema kuuchukia uovu nakumchuki mtenda maovu ya kutisha mauaji. Hakun mtu mwema anayeweza kumpenda muuaji.
Una uhakika gani kuwa yeye ni mwema au ww ni mwema au unadhani dhambi pekee hapa duniani ni kuuwa tu?
Usipende kijihesabia haki kwa makosa ya mwingine.
 
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
UNAMTAFUTA WA NINI ? AONEKANE ILI IWAJE
 
Si uliambiwa aliongea na kaimu balozi wa marekani? Subiri utamuona tu kutakapokuwa na jambo la kufanya ataonekana
 
Ni kweli. Machawa lazima waombe Mungu lolote lisitokee wakafa kwa kukosa wa kunyonya na uchafu wa kuwahifadhi.
eti?
nyie malofa wa kifikra,
mbona dec.9, mmewagomea useless activists kwa kutojitokeza kwenye maandamano haramu ili muwe wa kwanza kua posted mitandoni mkiwa mmekufa au kuumizwa?

au hamuipendi tena hiyo zawadi? :NoGodNo:
 
DR.SAMIA SULUHU HASSAN chapa kazi kisawasawa mama,
We are proud over you and we are always praying for you.

makhulukhutabi yanahaha na porojo za patapote :pedroP:
mjuba umerudi, ulikuwa wapi wewe? Uliuliziwa sana humu
 
Tangia nimepoteza vijana wangu, natamani sasa hanza kunywa wine ,naombeni mnisaidie ipi inaweza nifaa, sijawahi tumia kileo chochote , ila nipo upweke sana, na kipindi hiki nimejua mke bora ni nguzo ya familia ,maana bila uyu mama ,mke wangu nafikili mpaka mda huu ningelisha zikwa , matumaini anayonipa uyu mama (mke wangu) Mungu amwongezee maisha 9D nilipeleka pembeni mwa mji lakini alirudi na kuniambi ,tumefiwa vijana wetu, hacha kama kufa tufe wote , kwani ukifa na kuniacha naishi vipi, nimemshangaa sana uyu mama angu (mke wangu)
 
Juzi alipokea hati za mabalozi kiukweli mkuu hayuko sawa maana alivyokua anareact hata mtoto wa Darasa la Saba asingekua vile washukururiwe tbc walikata sauti na coverage kwa namna flani tofauti na hapo ingekua mbaya sana
Inasemekana hio live ni fake ukweli ni kwamba hatuko naye, kaitazame tena ile video
 
Back
Top Bottom