Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,411
- 3,203
Ugali na wali nisawa kusema maji na soda hakuna ulichofanya
Nikikumbuka wale Mashekh Wala ubwabwa bora tu niendelee na ugali wangu.Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
HahahaPicha ambayo upo na gari ndo baada ya kuacha ugali?
Wanakula san ugali waleWatu wa pwani hawanaga akili.Chunguza Hilo
Awe jini-assKwahiyo umekuwa jinias baada ya kuacha ukubwani?
Bora nife, kuliko kuacha kula ugali iwe na kitimoto roast, achana na ugali kula hiyo mikate ili uwe jinias
We jamaa nishakupataNaam 😎.
Mkuu unaendeleaje huko sayv Dom 😂.We jamaa nishakupata
😂😂😂😂🫵🫵🫵🫵Nimecheka sana
Mkuuu hatareee kabisa askwambie mtuu...Mkuu unaendeleaje huko sayv Dom 😂.
Njoo ujasy ya koedi nitakuwa nakulisha na kukulaza bure. Nina guest house huku.Mkuuu hatareee kabisa askwambie mtuu...
Kila siku nashuka ujasi kufata chakula an uwezi amin boom limekata mazima ahahhaha
Sawa cheupe dawaNinyi watu weusi mnapenda sana maugali tena mnakula mengi na kudharau vyakula vya asili ya kiarabu ndio mana akili zenu nzito sana hata kufanya maamuz hata kumanage tu uongozi hamuwezi
Kwa kusema hivyo min -me atasema ati nawasema vibaya watu weusi
Mi sio cheupe dawa, ila ni kweli mnapenda sana kula miugaliSawa cheupe dawa
SawaMi sio cheupe dawa, ila ni kweli mnapenda sana kula miugali
hahah ujas wanatoa msosi mwingi mpka kero hasahasa mboga😅Njoo ujasy ya koedi nitakuwa nakulisha na kukulaza bure. Nina guest house huku.