Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.

Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali

KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO

yaani una acha dona halafu unakula wali, unaona kuna mabadiliko.
Naona Elimu ya lishe au niseme Biologia ilikupita kushoto
Kwa taarifa yako, Dona ni nzuri sana kuliko wali...
 
20251105_135003.jpg
 
l
Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.

Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali

KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
lkn mwasisi wa JF nilimuona anakula ugali juzi😅🤣
 
Mimi ndo nimeshakazana nao mpaka kieleweke mnitoe huku jamani
 
Back
Top Bottom