Tangia Jussa amtukane Sita...

Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa kila anaetetea muungano medula yake ilifungwa katikati ya masaburi yake!!
 
Hayo ni mawazo yako mgando yaani jusa akiongea yanayo msibu wewe unaona ni upuuzi akiongea LEMA unaona yakijanja acheni chuki binafsi ni mara ngapi lema anatukana viongozi na wajinga wagapiu wanamsapoti au kwasababu ya asili yakiarabu au kihindi au sitta ni nani asielezwe ukweli NDESAMBURO ALIMTUKANA KIKWETE live namuona hapa Arusha hilo hulioni wacheni ushabiki
 
jina jenyewe Boko haram! Hapo unategemea nini!?
 
..Jussa aliteuliwa na JK kuwa mbunge ktk bunge la muungano lakini hatukumsikia akijenga hoja yoyote ile inayohusu muungano.

..CUF tayari wana rasimu ya katiba ya jamhuri ambayo waliiwasilisha serikalini ambapo wanapendekeza kuwe na muungano wa serikali 3. katika rasimu hiyo ya CUF lipo pendekezo la serikali za Tanganyika na Zanzibar kuongozwa na magavana!! sasa ina maana Jussa hakubaliani na rasimu ya katiba iliyopendekezwa na CUF???

..mimi nadhani viongozi wa CUF wakiwa kwenye majukwaa wanatamka yale ambayo wanachama wao wanataka kusikia, lakini wakifika kwenye vikao vya maamuzi wanatenda kinyume na matamko yao.

..Mfano mzuri hapa ni suala la Zanzibar kuwa na benki kuu yake, pamoja na sarafu yake. Wakati wa kampeni za uchaguzi Maalim Seif alisema hataanzisha utaratibu huo, lakini baada ya mgogoro wake na Hamad Rashid, Maalim ameibuka na madai ya Zanzibar kuwa na benki kuu pamoja na sarafu!!!!

Hivi Wazanzibari wanataka nini hasa kwenye huu Muungano?
 
...ndo madhara ya kuruhusu Waarabu watawale siasa zetu!!
Siasa za Zanzibar sio kama za kwetu Tanganyika
Waunguja, Wapemba, Waarabu na Wahindi ndio Wazanzibari wazalendo...wanaishi na kupendana kama ndugu wa karibu.
 
Jusa ni Juha tu, hilo twalijua, anajaribu kutafuta umashuhuri kwa kuingilia mambo ya watu. :alien: puuuuuuuuuuuuuuu, dead.......

Halafu me simpendi huyo mtu basi tu,ingekuwa amri yangu asingesikika tena.
 
Kwanza huyu Jusa arekebishe maongezi yake katika ile hutuba, Shell ni ya Waholanzi na si ya Waingereza, hiyo inaonyesha jinsi gani asivyo jua mambo, anapayuka tu.
 
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.

Taifa gani litakalowekwa hatarini, tanganyika au zanzibar. Hiyo itakuwa kwasababu ya ndoa ya cuf na ccm ndo maana anachekewa.
 
Jussa ni Freedom Fighter 95% ya Wa Zanzibari wako pamoja na Jussa

Uliwahoji lini kupata maoni yao hadi utaje hiyo percentage?
Kama wanacuf ndio wanamuunga mko kwa percent hiyo naweza kukubali kwa mbali sana lakini ukitaja wazanzibari nitakukatalia mara moja.
 
Faiza Foxy binafsi yako unaonaje hawa Zanzibar,, mambo wanayolalamikia yana ukweli ama la! kama ndivo nn kifanyike?
 
Nyinyi naona kama ndiyo wenye matatizo,hilo suala aliloongelea Jussa litaleta mtikisiko mkubwa sana katika huu muungano miezi michache ijayo hata kuliko la katiba.mpya.huwezi kukurupuka tu kwenda kuomba uongezewe eneo la bahari umoja wa mataifa kwa jina la Tz bila ya kumshauri mshirika mwenzako ambaye yeye ndiyo aliyezungukwa na bahari na hilo aneo unalokwenda kuliomba limemzunguka yeye....kazi kweli kweli
 
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.

Ukweli unawauma , mumezowea kudanganywa na kuburuzwa sasa mtu kama Jussa hafuniki kitu... Heko, Jussa.
 
Huyo mbona bwana mdogo sana hana effect ndio maana hata akiongea watu wanampotezea si uliona alitaka maneno na Mh Sitta ila kwa kuwa Mh Sitta ni mwelewa wala hakumjibu, huyo mbona kama ni kupotezwa wenyewe wakiamua ni dakika 5 hutamsikia tena ila kwa kuwa yuko kuchangamsha jamvi wanamuacha ana piga kelele akimaliza ana pewa ghahawa anatulia, Asikutishe huyo.
 
..Jussa aliteuliwa na JK kuwa mbunge ktk bunge la muungano lakini hatukumsikia akijenga hoja yoyote ile inayohusu muungano.

..CUF tayari wana rasimu ya katiba ya jamhuri ambayo waliiwasilisha serikalini ambapo wanapendekeza kuwe na muungano wa serikali 3. katika rasimu hiyo ya CUF lipo pendekezo la serikali za Tanganyika na Zanzibar kuongozwa na magavana!! sasa ina maana Jussa hakubaliani na rasimu ya katiba iliyopendekezwa na CUF???

..mimi nadhani viongozi wa CUF wakiwa kwenye majukwaa wanatamka yale ambayo wanachama wao wanataka kusikia, lakini wakifika kwenye vikao vya maamuzi wanatenda kinyume na matamko yao.

..Mfano mzuri hapa ni suala la Zanzibar kuwa na benki kuu yake, pamoja na sarafu yake. Wakati wa kampeni za uchaguzi Maalim Seif alisema hataanzisha utaratibu huo, lakini baada ya mgogoro wake na Hamad Rashid, Maalim ameibuka na madai ya Zanzibar kuwa na benki kuu pamoja na sarafu!!!!

chonde chonde, amani ya tz inalekea kutoweka kwa sio miaka mingi ijayo...Dhuluma haitadumu, wingi hautasaidia kitu , imani za watu zinaanza kupote . wako wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao...Yanayo tokea Nigeria yanaweza kutokea tz, sio muda mrefu. Ubabe una kikomo.
 
enyi wanamagwanda msio na akili,ni nani aliewaloga? nyie ambao wakiropoka akina slaa,zitto,mbowe,tobo lissu,na wengineo hamuoni kuwa ni wajinga lakini wakisema wengine mnawatukanamdemokrasia gani hii mnayoihubiri?? akilia kasuku anaimba vizuri,akilia bundi anafanya uchuro?
 
Back
Top Bottom