ukweli utadhihirika
Member
- Jan 12, 2012
- 20
- 0
Jussa................ no.... anafaa kuitwa ........ Juha...................nimesoma mchakato wa kuongeza eneo sioni tatizo, kama ni taratibu zote zimefuatwa, sasa yeye alitaka wazanibar wapi washiriki ndio ajue ameshirikishwa? , yaani ni mjinga sana, sijui anataka nini mwenzetu?
wewe ndo juha hamuwezi kukurupuka tu kwenda kuomba ongezeko la bahari mujue kuwa suala la mafuta ndio linaloleta mgogoro saivi ndio maana hamutaki kutuachia na muungano feki. sasa iweje hizi ni nchi mbili zilizoungana na Zanzibar tuna mipaka yetu na tanganyika mna mipaka yenu ? na kama mnafikiri sisi wajinga mtaona basi raha ya muungano soon ,mkae mkijua suala la mafuta halimo katika muungano wenu feki