MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
jusa ni tusi siku hizi...... mtu akikutukana wewe jusa nini? unalo hilo!!!!!!!!!
basi ni mpogoro.
Huo muungano mnaoung'ang'ania ndio chanzo cha maneno yote hayo.
Acha muungano uwatie presha hadi wenyewe mchanganyikiwe.
hii ni platform ya great thinkers jamani tujadili hoja sio kabila ya mtu, uarabu wa jussa unahusika vipi hapa.
kwahiyo ni Mwarabu koko
![]()
HUyu ni mjinga tu, Si ni rafiki mkubwa sana wa Rostam Aziz? kwa hiyo lao moja tu, hawa waarabu tusipokuwa makini wataleta balaa Tanzania ukizingatia tuna Serikali ya Kisharobaro sana.
mkuu nakubaliana kabisa na wewe kwani tunao mfano hai wa huku bara kutawaliwa na vatcan.Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.

Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma
huo ujanja wenu tunaujua hata kikwete akiwa umoja wa mataifa anesma kuwa tanzaniz ni muungano wa nchi mbili lakini zote hizi zinasherkea uhuru wa tanganyika jee amesahau kuwa znz ina uhuru wake kamili ambao mnaupoteza mtakuja kujuta nyinyi watanganyika tonge itakutokeeni puaniZanzibar ni autonomous territory ndani ya Tanzania. Swali la msingi je pendekezo la Tibaijuka linakiuka haki yeyote ya zanzibar kama eneo linaojitegemea? ie infringe territorial rights of Zanzibar.