Tangia Jussa amtukane Sita...

sijaona tatizo la Jussa, hana tofauti na lissu na Mnyika

Wanachoongea ni kitu chama maana sana kwa mustakabali wa Taifa

Tunahitaji serikali ya Tatu, hatutaki serikali inayo oppress wazenj hata kidogo..

United against oppression and oppressors all over the world.
 
Zanzibar ni autonomous territory ndani ya Tanzania. Swali la msingi je pendekezo la Tibaijuka linakiuka haki yeyote ya zanzibar kama eneo linaojitegemea? ie infringe territorial rights of Zanzibar.
 
Jamani huu ubaguzi tulionao utatula siku moja huyu bwana wazazi wake walimzaa hapa na hakuukana uzanzibar iweje mnaongea utumbo huu jamani hebu tufikiri vizuri haya mambo ya huyu muislamu sijui huyu mkatoliki sio sahihi. Na kiukweli hili suala la UBAGUZI litatumaliza kwani ni sawa na kansa.
 
Tangia Jussa amtukane Sita, niliamua kufuatilia matamshi yake ya kisiasa, nimegundua kuwa ni mtu wa kuogopwa sana. Baada ya serekali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupeleka pendekezo la kuongeza eneo la kiuchumi (EEZ) UN, ashaanza maneno tayari. Yeye kwa vile chama chake kinashiriki katika serekali, angeweza kupata majibu serekalini. Huyu jamaa anatafuta umaarufu, lakini anaweza akalitumbukiza taifa kwenye balaa.

Hivi Jusa ni mwarabu?

Lakin kumbukeni kuwa Jussa si tu msaidizi wa Maalim Seif wa siku zote lakin pia ni mwanasheria mahiri sana. Walio Zenji wanalijua hilo.

Na anachodai hapo ni haki yake kisheria kwani kitu chochote kinachohusu muungano ni lazima kishirikishe pande zote si tu Bunge na lazima baraza la wawakilishi lishirikishwe.

Ni haki yake na kulinda sheria za muungano na Za Zanzibar. Lazima kieleweke kwani ni vizuri wajue kuwa Znz ni nchi kamili ndani ya muungano.
 
chonde chonde, amani ya tz inalekea kutoweka kwa sio miaka mingi ijayo...Dhuluma haitadumu, wingi hautasaidia kitu , imani za watu zinaanza kupote . wako wanaofikiri kwa kutumia matumbo yao...Yanayo tokea Nigeria yanaweza kutokea tz, sio muda mrefu. Ubabe una kikomo.


Ni lazima Katiba na sheria zifuatwe na sio dhulma na ubabe. au upande mmoja kujiona superior kuliko mwingine. Ni lazima wote mjue mpo sawa ndani ya muungani. Na hata katiba zote mbili ya muungano na ile ya Znz zinanena wazi hilo.


 
Kwa Siasa anayofanya JUSSA kama si yeye Kizazi chake kitakuja kupata shida.. Hakika muda si mrefu baada ya kutokuwa na muungano. Kuna watu huko Zanzibar wataitana wazawa na waarabu..
 
hii ni platform ya great thinkers jamani tujadili hoja sio kabila ya mtu, uarabu wa jussa unahusika vipi hapa.
 
Jussa................ no.... anafaa kuitwa ........ Juha...................nimesoma mchakato wa kuongeza eneo sioni tatizo, kama ni taratibu zote zimefuatwa, sasa yeye alitaka wazanibar wapi washiriki ndio ajue ameshirikishwa? , yaani ni mjinga sana, sijui anataka nini mwenzetu?
 
Nadhani JK alimteua Jussa kwa misingi ya kidini kama kawaida

No! Hakuchaguliwa Ubunge na JK eti kisa udini......Taratibu Ni kwamba Rais anatoa nafasi kwa chama then kinateua mtu, Ni Taratibu za kawaida za kisiasa hapa TZ.
 
Hivi Jusa ni mwarabu?

Lakin kumbukeni kuwa Jussa si tu msaidizi wa Maalim Seif wa siku zote lakin pia ni mwanasheria mahiri sana. Walio Zenji wanalijua hilo.

Na anachodai hapo ni haki yake kisheria kwani kitu chochote kinachohusu muungano ni lazima kishirikishe pande zote si tu Bunge na lazima baraza la wawakilishi lishirikishwe.

Ni haki yake na kulinda sheria za muungano na Za Zanzibar. Lazima kieleweke kwani ni vizuri wajue kuwa Znz ni nchi kamili ndani ya muungano.

Jusa si mwarabu.....yy Ni amne samne! Anayetumiwa kisawasawa na cCmaFIsadi VIA rostam kuimaliza cuf......ndie injinia Mkuu ktk kushindwa kwa CUF 2010 znz. Akiwa ktk kamati ya kukusanya matokeo ya uchaguzi hadi Leo hii hajawasilisha chamani matokeo ya majimbo matano ya Unguja ambayo kwa hakika ndio jamaa walipopigia bao.
 
Jusa si mwarabu.....yy Ni amne samne! Anayetumiwa kisawasawa na cCmaFIsadi VIA rostam kuimaliza cuf......ndie injinia Mkuu ktk kushindwa kwa CUF 2010 znz. Akiwa ktk kamati ya kukusanya matokeo ya uchaguzi hadi Leo hii hajawasilisha chamani matokeo ya majimbo matano ya Unguja ambayo kwa hakika ndio ccm walipopigia bao.

Hivi Jussa alikuwa anafanya kazi ZEC au NEC wakti wa uchaguzi 2010? Tunaomba ufafanuzi wako.

 
JUSSA lazima avimbe kichwa maana ndiye mshauri mkubwa wa Maalim Seif kuliko hata Mkewe Maalim mwenyewe ! JUSSA ndiye aliyemshauri Maalim Seif ayakubali matokeo kule hata kabla hayajatangazwa ili ZANZIBAR kama nchi nayo itawalike na amelipwa pesa mingi sana kwa kuweza kuyaweka mambo sawa mnakumbuka zile e-mail alizokua anaandikiwa na January Makamba ??

Na ni mdau ama swahiba mkubwa wa yule agent wa CIA na wao ndio wanataka mtu wao this time awe Rais wa Jamhuri kama mnakataa siwalazimishi maana mmezoea ubishi sana! Wanachokita wataweza ndio maana anakuwa na jeuri sana, Anajua hata akisema nini hamtamfanya kitu maana " Muafaka " mnaousifia leo umepita kwenye mikono yake kwa gharama zake pia !
 
Hujui kama jussa ni mwarabu? siku wakishika madaraka kule pemba kutakuwa kwa kisultani. wakuogopwa kama ukoma

Jussa ni muhindi wanaitwa wahindi makumbaro wahindi na masultani ni wapi na wapi? au unadhani wanaotokea zanzibar wote wenye weupe wana asili ya kiarabu unamjua mbunge wa ccm anaeitwa Parmukh Hogan ni muhindi mwenye asili ya kisingasinga, Maalim Sanya mbunge wa jimbo la mji mkongwe ni muhindi pia sio huko tu hapa huku bara tulikuwa nao kina gulamali yupo mohammed dewji.

Kwa ufupi kuhusu usultani na muhindi ni sawa na mbingu na ardhi.
 
JUSSA lazima avimbe kichwa maana ndiye mshauri mkubwa wa Maalim Seif kuliko hata Mkewe Maalim mwenyewe ! JUSSA ndiye aliyemshauri Maalim Seif ayakubali matokeo kule hata kabla hayajatangazwa ili ZANZIBAR kama nchi nayo itawalike na amelipwa pesa mingi sana kwa kuweza kuyaweka mambo sawa mnakumbuka zile e-mail alizokua anaandikiwa na January Makamba ?? na ni mdau ama swahiba mkubwa wa yule agent wa CIA na wao ndio wanataka mtu wao this time awe Rais wa Jamhuri kama mnakataa siwalazimishi maana mmezoea ubishi sana ! Wanachokita wataweza ndio maana anakuwa na jeuri sana, Anajua hata akisema nini hamtamfanya kitu maana " Muafaka " mnaousifia leo umepita kwenye mikono yake kwa gharama zake pia !


Nyie ndio washauri wa Padre mnao mpotosha asipeane mkono na Rais wa JMTz J.K Kikwete. Japo Rais huyo amewekwa kisheria za JMTz.

Na kushindwa kuelewa siku zote rais anakuwa ni mmoja tu katika nchi.
 
Back
Top Bottom