TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Mkuu mi najua aliyekuletea hizo taarifa za kizushi, uwongo, umbeya na ukuda lazima atakuwa Dr.zero. huyo jamaa ni mnoko balaa.......................... nakanusha kuwa siyo kweli kwamba nina mahusiano na binti wa under 18!...................... pia siyo kweli kwamba sharifaa yupo under 18, yaani amenizidi miezi kazaa kiumri hahaaaaaaaa
Note:
Hizi kashfa asijesikia mke wangu kipenzi my Lily Flower! yaishie hapa hapa

Wewe jibu shutuma dhidi yako, sio unanipakazia mimi. Unataka umaarufu kupitia jina langu eeh,.. Mwenyekiti komaa naye huyo kaka seya Mungi
 
Last edited by a moderator:
He he he eti Baba V ni kweli kuna mtu huwa anakaimu cheo chako ukitoka!!!!!

Nilipigwa ban instantly sikupata hata muda wa kuteua kaimu, ndo maana nimerudi na kukuta majukumu kama ya buku tisa hivi
 
Last edited by a moderator:
I meant "welcome back" we naye mpana ka pazia la sinema lolest!!!!!

Vp shostito hujambo wewe na sehemu zako???

Hivi wewe...! hiyo mimba unataka uzae mtoto akiwa na ndevu kabisa!??
 
I meant "welcome back" we naye mpana ka pazia la sinema lolest!!!!!

Vp shostito hujambo wewe na sehemu zako???

Ahaaa kiswahili chake utata tupu!!!!
nlikuwa nshatoa macho hapa we acha tu.......
mi sijambo sijambo shoga i miss you(nakukosa)!!!!
 
Ondoa shaka my dia mi hata siendagi, nasikia tu story!!!!!!!
kama sahivi tu mapenzi ya kawaida upo hivo, nikienda huko je? si utaacha kazi ukae nyumbani kunihudumia mie....

kweli aisee kama tayari pana mapenzi ya dhani yanini kutafuta ndumba? hayo mambo yanatumiwa na wale wasiojiamini kama Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Mme wangu.
Sasa endapo mimba itakuwa ya Chibolo,utaniacha?

Madame B unatisha.una mume na mimba ya hawara hahahaha...au mitaala imebadilika sikuhizi na sisi tunaruhusiwa kuwa na wanaume wanne?nijuze madame B na mimi niongeze idadi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom