CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
he he he siumenambia unabadilisha mazingira wewe!!!
kumbe.......
Kumbe nini... shost tutakosanaaaaa ohoooo!!!!!
he he he siumenambia unabadilisha mazingira wewe!!!
kumbe.......
NshakuPM kitamboo saana. hebu refresh page yako ya Internet
KWANI TUKO WANGAPI Vin Diesel?
tahadhari!!!!!!!!!! baada ya ndoa tunabadilishana simu yangu utakuwa nayo na yako nitakuwa nayo,
He he he hebu nipishe mie!!!
Kumbe nini... shost tutakosanaaaaa ohoooo!!!!!
Now what is this? Rubbish!
my waifu majina yote ya ajabu ajabu mwambie siyataki kuyaona ndani ya simu yake.Watu weweeeeeeee..... Sitaki ushahidi mie!!!!!!!
hapo sawa mpenzi afu naomba unitafsirie hiyo picha hapo my love Evelyn salt
copy mwenyekiti Baba VView attachment 79675
karibu kwa watu walio pinda kama dawa ya mbu ukianza kuwanyoosha tu wanavunjikia BANINI {ban}Now what is this? Rubbish!
hujaelewa dia? inamaanisha hatoroki mtu hapo kwenda sijui wapi wala wapi, sokoni nitakuwa naenda mwenyewe kuhemeambona sijaelewa mupenzi!!!!!!!
hatorokwi mtu hapa!!!!!!!!hapo sawa mpenzi afu naomba unitafsirie hiyo picha hapo my love Evelyn salt
copy mwenyekiti Baba VView attachment 79675
Now what is this? Rubbish!
kamati ya ulinzi na usalama piga pingu huyu mpakandoa yangu ikamilike kwanzaView attachment 79676Nakupisha ila usichelewe!
Kwa hiyo @ chimbuvu ni la Kibisa