TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Madame B ni haluwa ya nafsi yangu....sijakutana nae barabarani.. Mr Rocky anajua hili


hilo najua na najua kuw ana Mamndenyi anajua hilo halina ubishi hivyo Mamndenyi asiwe na wasi wasi akukuona na Madame B
Jamani huku ni kuchafuliana CV Mr Rocky leo umemuamkia Vin Diesel.


mhhh Lily Flower hayo maneno kayasema mwenyewe Vin Diesel kuwa akikuona tuu mambo yanaharibika sio ya kwangu aise na wala sijakuchafulia CV
Mr Rocky anajua sana kuharibia wenzake majina....hajui hata tumetokea wapi....
Vin Diesel hebu rudisha satellite yako huko kwenye majibu yako ya mwanzo aise uone ulichoandika au ulifuta Mamndenyi na Lily Flower wasione
 
Last edited by a moderator:
ningeshangaa hayo mapenzi ya kwenda kununua kwa sangoma si balaa hiyo!

Mpenzi mi siwezi huduma unazonipa nimeridhika, kucha unansafisha, nguo unanfulia kibini zangu included, unansaidia kupika nakupendaje Slave!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nami nimekukosa sana shogaangu, yaan tangu mwaka jana hatujatia machoni lolest!!!!! Tumeet ths weekend aiseeee.......

Jana sijui nimekufananisha pale Belmont Hotel niliona mtu kama wewe anachukua keys za room....
kulikoni kwanini hukulala nyumbani!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom