TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Ondoa shaka my dia mi hata siendagi, nasikia tu story!!!!!!!
kama sahivi tu mapenzi ya kawaida upo hivo, nikienda huko je? si utaacha kazi ukae nyumbani kunihudumia mie....

ningeshangaa hayo mapenzi ya kwenda kununua kwa sangoma si balaa hiyo!
 
Nakusubiri kwa hamu aisee, kuna watu hapa najua hawatakosekana humo. Nataka kujua maisha ya Mr Rocky kipindi niko selo
Baba V duh karibu sana
Nilikuwa karibu sana na Mama v kumbembeleza asilie sana kwa kukosekana kwako
Mazoezi ya kwaya yaliendelea kama kawaida kati yangu na sweetlady na Mungi kidogo aibiwe mke wake na Vin Diesel Erickb52 alipata ugonjwa wa bp na gapco na total baada ya kujua kuwa niko na Mama v
 
Last edited by a moderator:
Baba V duh karibu sana
Nilikuwa karibu sana na Mama v kumbembeleza asilie sana kwa kukosekana kwako
Mazoezi ya kwaya yaliendelea kama kawaida kati yangu na sweetlady na Mungi kidogo aibiwe mke wake na Vin Diesel Erickb52 alipata ugonjwa wa bp na gapco na total baada ya kujua kuwa niko na Mama v

Hivi mnajua nilipokuwa selo nimejifunza jinsi ya kupiga ban..!? we jiongelesheee.... afu utapata majibu yako. sina adabu we
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Si ndio maana nimesema PRIVATE..!? Najua madhara ya vitu vizito vyenye ncha kali... kam to my side..

teh teh teh! lakni haviumizi,niambie ma mwenyeketi kasafiri?mbona cjmuona mtaa wa cc kitambo?
 
Si kama ujio gesi pande za mtwara, nakuja kama sijui nani vile nakuja kama nani kirusi, Baada ya kukaa selo kwa muda usiovumilika hatimaye I'm out. Sijui nianzie wapi ila:
i. Kesho jumatano tarehe 16 Slave na Evelyn Salt ndani ya ndoa itakayofungwa kanisa la watakavitu wote saa tisa alasiri.

ii. mary hunbig na stevoh nataka hati zenu za muungano mezani kwangu kesho asubuhi na mapema nizipitie upya

iii. Mungi ulete maelezo ya kina juu ya kashfa yako ya kimahusiano na mtoto wa under 18 sharifaa ,unataka upate brain concusion eeh!

iv. Chimbuvu na Madame B nahitaji maelezo ya kina juv ya mustakabali wa ndoa yenu na uhusika wa Chibolo na Arushaone kwenye mimba ya Madame B.

v. Mamndenyi na Vin Diesel nahitaji kuona hati zenu za maridhiano kabla sijabatilisha ndoa yenu kutokana na nyendo za Vin Diesel

vi. ummu kulthum uje privately uthibitishe tuhuma zako na udhalilishaji juu yangu
vii. Globu nahitaji nyaraka za utetezi wako kwa nini usiondolewe jukwaa la utambulisho baada ya uzushi uliomfanyia Evelyn Salt.

viii. amu lete maelezo kwa nini uligoma kunifariji japo kwa nusu saa uliyokuja selo, na mzungu mndali kwa nini umeondoka bila kuniaga!???
ix. Jacaranda ndo kwetu unajua kosa lako


Ntaendelea kesho na wengine, kwa leo niacheni nikaoge baharini usiku huu kama nilivyoshauriwa na mganga ili nisipatwe tena na ban.

ONYO: Kwa wale jamii ya C.T.U na Amsterdam Don't dance and chit chat, this is another fire (msicheze na chit chat , huu ni moto mwingine)

Cc. Erickb52 , Mentor, Dr.zero Mr Rocky , Slave, Dena Amsi, nitonye, Bishanga , watu8
salamu zangu kamati ya ndoa kupitia kwako mwenyekiti naomba unipe nafasi ya upendeleo niwe msindikizaji wa bi harusi Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom