Madame B sio wa kuvaa yebo yebo aseee....usimchukulie poa.Vin Diesel .... atapata????
Lily Flower....nikisikia hili jina maumbile yanabadilika shape......
Unakonda au unanenepa rafiki kipenzi Vin Diesel.
Vin Diesel si ulimpa .....2.....
Mkuu Mr Rocky...nimeshapiga marufuku watu kutajataja jina la Lily Flower maana linanipa mambo fulani hivi nayajua mwenyewe... Mamndenyi ndio mama mwenye nyumba na pale nimefika...huyu mtoto sharifaa anatakiwa aje akae na sie ili wakati Mamndenyi anaenda shamba amuache ndani akifanya usafi....Mungi kuna maneno inaendelea huku eti Vin Diesel akiona tuu mguu wa Lily Flower mambo yanabadilika Mamndenyi jipe moyo hapa una mume haswa na hapo kashaanza kukatamani katoto sharifaa wakati hata hakajakaguliwa Dr. zero umeona eehhh huyo jamaa ni weka mbali na watoto na mke maana hafai kabisa aise
Ulivyoenda kwa mganga kuomba dawa ya kuogea ulitegemea nini!??
charminglady ni namba moja na wengine watafuatia kwa mbaliiiiii.....na mchakato ulishafungwa kitambo.Weweeeeeee mie na. moja ohooooo!!!! Tutaonana wabaya bure.........
Mimi ni Haluwa nina Utamu wa Kuzaliwa.
Hebu waulize hao wanaume,wanafata nini kwangu....
Nimekwambia Sh 80,000/= namba yangu ya Tigo Pesa si unayo?
Tuma Laki,elfu 20 ya kuchukulia kwa Wakala.