TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

TANGAZO ZITO: Mwenyekiti Baba V nimerudi

Madame B ... kiatu tena dah mbona vimejaa bongo, ndo nini kwenda kujaza maviatu kwenye mabegi kuongeza uzito tu, wenzio tunaagiza vyenye mshiko ati.

Begi gani tena?
Nataka kiatu cha kuvaa siku hyo.
Na nishapata.
 
Last edited by a moderator:
Ahaaa kiswahili chake utata tupu!!!!
nlikuwa nshatoa macho hapa we acha tu.......
mi sijambo sijambo shoga i miss you(nakukosa)!!!!

Nami nimekukosa sana shogaangu, yaan tangu mwaka jana hatujatia machoni lolest!!!!! Tumeet ths weekend aiseeee.......
 
Back
Top Bottom