Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
- Thread starter
- #141
Hapana sirudi kwani kunanipa kumbukumbu za kusikitisha!
teh teh kunisifia publicly,hujui watu watajenga imagination kubwa matokeo yake wakiniona live wanazimia kukuta mambo ni kinyume Mentorkhaaa
Mi chichemi!!!!:glasses-nerdy::mad2::mad2:
Stori yako nzuri. Ukiichezea muvi ita heat.
Hebu nikumbushe forodhani kwa tanga ipo mitaa gani mana nilitoka huko kitambo.
duh.......... Mentor kumbe ndo maana ulikuwa vere down................you didnt want to meet your buddies, neither cook, nor smoke wee with em, hata kukaribisha watu unaishia kuwachungulia dirishani!!!
now i know!!!!!
Jitunze!