Tanga Sirudi Tena...

Tanga Sirudi Tena...

Bonge la fundisho kwa vijana, tuache kupalamia palamia mivitu ambayo ni ya hatari. Sijui oooo, shombeshombe nini na nini..... ungeenda na maji. Nafurahi kama umemrudia Mumba wako. Na pengine Mungu ana makusudi kukubakisha ili utubu. Sina hakika sana 😉 kama kwako hii ni story tu au vipi. Nadhani you and I share something here. Mimi imenitokea pia katika maisha yangu namrudishia sifa na utukufu yeye aketie juu patakatifu Mbinguni, Mungu.
 
Hongera kwa kusalimika na naamini kupitia hii wengi watajifunza. Wapi suzan ??
 
Nafikiri kwa miezi minne ya wasiwasi umepunguza uzito kiasi cha kutosha hata mazoezi huhitaji.
 
Hongera kwa kusalimika na naamini kupitia hii wengi watajifunza. Wapi suzan ??

Suzan is another story bro...next time.

Nafikiri kwa miezi minne ya wasiwasi umepunguza uzito kiasi cha kutosha hata mazoezi huhitaji.

Hahah na nilivyokuwa nakonda ndo najiona nimeshaukwaa...shidaaa!!!
 
Back
Top Bottom