Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
dah mdomo umekamilika huu,ingekuwa sio ijumaa leo kuna kitu ningesema juu ya huu mdomomzima miye.........
iii story ka ni ya uongo vile....sijawah ona duka raskazon...kule kuna supermarkets tu aisee
curious me...hivi tafsiri ya 'supermarket' kwa kiswahili ni ipi?
. . . . Hasahasa Tanga!!
Afadhali umentoa tongo
dada hujambo..?
Umeshawahi kupita pale barabara ya 11?
Mombasa siendi tenaaaaaaaaaaaaaaa
Majengo siendi tenaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuna ndogondogoooooooooooooooooo
Siye tulikuwa twapaita Jamhuri Park na wala hakukuwa kwauzwa urojo ndio maana nikahamaki...
Ilikuwa ni bustani tu kwa ajili ya watu kupumzika na kupata upepo mwanana wa bahari...
Hiyo ni Tanga ya zamani hata kabla ya uwepo wa daladala, ndiyo Tanga niliyoishi miye
Ooh!! kumbe umesoma Popatlal wewe eenh...na wadosi wa Raskazone na Sahare sio
Umeona eeh!
nimeamua kuweka picha yangu laivu!
Nataka niweke na jina langu la kwanza
PLL achilia mbali yale ya muuza dawa. je ya mama yake mkwe Menter "kama wewe hujihurumii, wahuumie watoto wa wenzako".Dah yan umshukuru Mungu wako ndo alikuepusha na kikombe hicho kichungu...
Ila story hii inatukumbusha kuwa waangalifu lakini kwa vile akili kubwa hua inashndwa nguvu na ndogo majanga kama haya ndo hutokea.
Dah cpat picha roho ilivyotaka kukutoka baada ya kuambiwa yale maneno na muuza pharmacy...