huo ni mwanzo tu,vipi Suzan ye hakupata mentee? hongera kwa kutulia.
hadithi hii inatufundisha tutulie na mpenzi mmoja na tuwe waaminifu teh teh teh
Hahaha...siku hizi mambo yote Tanga Resort
..been there!Mentor angalia tuu usije ukapata watoto wakaanza kukuita babu maana kwa trend hiyo ya kuanzia baba na kaka yako inaelekea wewe utavunja record hapo ya kuwa na umri zaidi ya hao
shamba langu limethibitishwa na TBS sina presha na hizo one night stand
Mkuu ulipima mara ngapi?
Weee! Alipima mara ngapi? Hainaga poo hii kitu labda apeleke damu ya mbuzi au kuku kama akilazimika kurudi mara ya pili! Madaktari wetu waliosoma enzi za migomo hawachelewi kukupa majibu ya mwenzio!
daaaa!!!! mkuu ulifaidi sana, pole zimfikie Mtoto Aneth. But usiichukie Tanga Mkuu.
- Nimejifunza kitu hapa. Nimesoma simulizi yote neno kwa neno.
Uko sawa mkuu.. Mentor inabidi urudie kipimo mara ya pili kama hujarudia na kipimo hicho hufanyika miezi mitatu baada ya kuachana na Aneth
Unajua mkuu, amenipa hofu kidogo aliposema alipima wakati wa maonesho tu, na hii kitu ina hatua zake. Moja wapo ya hatua hata ukipima unaweza usiione, sasa nilitaka kujua tu kama alirudia tena baada ya miezi mitatu.
Nilikuwa naenda kupiga Demu leo...Nimebadili mawazo Asante Mentor kwa "Ngano" (Hadithi) hii nzuri...
Pole sana mkuu na hongera pia kwa kupita salama.
TRUST NONE
Ni Tanga hiyo hiyo kaka lakini siye tulizoea kupaita Jamhuri Park....ni ule mtaa ambao upande mmoja ukienda moja kwa moja watokea ofisi za Manispaa....halafu huu upande mwingine waenda hadi ghorofa la bandari.
Bila shaka ukiziona hizi picha utavuta vilivyo taswira ya kijana Shabaan...
![]()
![]()