Tanga Sirudi Tena...

Tanga Sirudi Tena...

Mkuu shukrani kwa story yenye funzo kwa sisi vijana ila kupima mara 1 ukakutwa xalama haina maana mpaka uhakika zaidi yamara3 kupima baada ya hapo utakuwa salama salimini!
 
Amen to that bro...



You are welcome HITLER. I hope you learned something from it.



Zaidi ya hatari..miezi minne ya hofu na wasiwasi mwingi...




Mwenye masikio na asikie...

Sirudii tena mkuu, nimekoma!





Na umenifunza vyema, nashukuru ulimwengu ulinionea huruma.

Ushwahi kufika hapo? Wanamfahamu sana Aneth pale...poor me sikujua kwa nini hakutaka twende huko!


Pole kaka
 
Oooh, AFADHALI maana kuna mdada tulishare, tena nilienda kavu kavu, na wewe ndo kaugonjwa kako.
 
Hongera sana kwa kuwa jasiri na kuamua kupima. Mana kiukweli apo kwenye kupima palitaka moyo hasa baada ya kujua kama ulitembea na mwathirika.
 
Nnachojua mimi ukiwa na mhemko mkubwa halafu na kinywaji kichwani ndio unajikuta unashindwa kutumia mpira, waone wanawake wote wa kawaida zama hizi basi hutazamisha kavukavu. Sie wa one minute yaani ukivaa mpira wenyewe tu unawezakojoa kwahio unajikuta ni lazima tu uvae baadae maana mhemko ushapungua.
 
Aisee, kweli Mungu anampenda kila mtu, na kwa kuwa umeamua kuacha na kubadilika, jifunze pia kumgeukia Mungu na kumhofu, na nitafurahi ukitukaribisha kwenye arusi yako wewe na Suzan, all the best
 
ilinikuta mara ya kwanza na ya pili, ya tatu nikapona pia. najiona nyani mkongwe mishale mingi imesanikosakosa
 
Mentor sabal kheri?? Kwema huko??

Salama kabisa dada yangu...mzima weye??

Nahisi kukumiss sana yani..ushamaliza kunyonyesha mtoto uliyezaa na Kaizer na umeolewa na Asprin !??


Kavu inataka moyo!

Ila tamu...

Sasa Mentor unataka na mimi nigahiri kuchukua mtoto wa kitanga ila tuacheni maskhara watoto wa kitanga wengi wao ni wazuri ........

Wazuri kweli, mauno wanayajua, wapelekwa msalani na kisosa...ila beware bro! Hatutaki kukupoteza mapema...


safi kiongozi

Nashukuru mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom