Nyamgluu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2006
- 3,160
- 1,727
Mentor story nzuri sana mimi ilishawahi kunitokea hio kama mara 3 ndugu yangu!
Ila Mwenyez Mungu nahisi anamipango na mimi. Ila jamani wenye virusi na kujua kisha kuishi vizuri tu wa mioyo ya ajabu mno.
Unajua mtu ukijihisi umeukwaa kila kona ukigeuka unaona matangazo ya ukimwi. Redioni, tv, magazet, mabango, story za marafiki, ndugu yani dah ni rahisi kuchamganyikiwa.
Tuwe na mioyo ya kuwaelewa wenzetu na kiwahurumia ila bila kuwaonyesha maana inawaongezea stress.