SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 1,012
- 1,028
MREJESHO
Habari ndugu ZANGU...NADHANI...nilileta Uzi ulisema. MKE WANGU KAACHA NDOA YAKE KISA KAZI..
..
...
Leo nawaletea MREJESHO...
Baada ya Mwanamke kuondoka kusikojulikana,,huko alipokuwa alikaa karibia week Moja..Bila Mme ,Wazazi,hata Ndugu kujua alipo...
Baada ya kukaa kwa siku zote zote hizo ,,,ghafla nilipigiwa na Simu namba nisiyoijua kuwa ananitaarifu kuwa kuwa amesikia namtafuta, KUPITIA kwa màrafiki zake,Hadi anasikia mpaka nimeenda police ,,, kwahiyo akanisihi nisiangaike kumtafutia Yuko salama...basi baada ya kaniambia hivyo niliamua kutulia...japo nilikuwa sijui Yuko wapi...
Siku iliyofuata Mwanamke huyo alianza kuwatafuta ndugu zake wote kuwa Yuko salama...kwa kutumia namba tofauti kwasababu hakuwa na Simu..
Siku nyingine aliongea na Mama ake,,, ambaye ni Mama mkwe wangu,,,, ambaye alimsihi aende kumuona kwamba anaumwa sana...baada ya kuambiwa hivyo...baada ya siku nyingine alikuja NYUMBANI kwangu ghafla wakati mimi natoka Bafuni kuoga nilimkuta ndani akiwa anajiandaa kama mtu ambaye ana haraka ya kuondoka....nilipoingia ndani tulisalimiana...baada ya hapo akaniambia kwamba amekuja kuniaga kwamba anaenda kumuona Mama ake amemwambia anaumwa sana...baada ya kaniambia hivyo nilimuuliza Begi lake liko wapi,,, akaniambia analo Bodaboda huko Barabarani...nilichokifanya...niliamua kwenda Barabarani nikachukua begi lake...baada ya kukaa kwa Muda niliamua niende naye NYUMBANI kwetu kwa Wazazi wangu,,,
Wazazi walimuuliza Nini shida iliyomfanya kuondoka...na Alikuwa wapi siku zote?
Alichojibu alisema: Kwamba Baba na Mama walitengana,,Baba yake akaoa Mwanamke,,,, wakaishi maisha tabu utotoni kila mtoto aliisha maisha yalikosa uangalizi wa Wazazi,,, kwahiyo aliamua kuondoka kwenye Ndoa alihisi Matatizo hayo yangemtokea hata yeye...Kama Wazazi wake ilivyotokea...ana hofu hiyo..
Kwahiyo alimua kuondoka kutafuta kazi...maana anahisi ataachwa...baadae aangaike
Pia... alisema siku zote alizopotea alikuwa kwa RAFIKI yake mmoja,,,alikuwa amemhifadhi...
Huko alikuwa anafanya vibarua vya hapa na pale,,,huku akitafuta kazi ya kufanya
Soma Pia: Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi