Tanga Sirudi Tena...

Tanga Sirudi Tena...

Duuh!Mungu bado anakupenda na ana mpango na wewe,maskini Mentor ungetoweka nani angenirusha roho kule jukwaa la Arsenal
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa sina msaada,

Itabidi urudi chekechea (a.k.a shule ya vidudu) ili ukanywe uji...lol!!

Babu DC!!
hahahaha...umenikumbusha mbali sana, begi zima lina bakuli ya uji na vizibo vitno vya soda..hahahaha
 




You never know bro...can't agree more! Somebody once sang, "...she'll keep your heart guessing, but she's yours if she stays...that's what it feels like, to love a woman!" (Cc: BAK )

 
Last edited by a moderator:
haijalishi we ni nani
haijalishi ni tajiri au masikini
haijalishi we ni nani
ukipata ukimwi ni kifoo....... (rudia chorus)
 
Pole sana kaka...mshukuru mungu kukuokoa kwenye mdomo WA mamba.
 
Mmmh!! hili jina la Aneth inabidi nianze kulitilia mashaka, sijui ndio yule Aneth wa Mbagala aliyekupa lifti ya mwamvuli kituoni...teh teh!!!

Halafu kaka Mentor, TA hakuna Forodhani bana loh

Ipo bhana siku hizi swahiba.
 
Na AshaDii je? Na cacico kwa udhamini wa babu Asprin???! #wanajua ??????

Mentor taratiiibu mdogo wangu... Usije fanya DEMBA akasusa na hali baraka zishatolewa. Mimi sasa hivi nalea watoto wa familia zote nashinda tu nyumbani, gfsonwin anasaidiana na baba watoto Kaizer kutafuta na kuchangia chochote ndani ya familia... Tunakuwa tumechoka mno jamani. So shem wako anahitaji mtu ambae kila wakati yupo fresh... Hapo thats where Demba comes in. :smile:
 
Last edited by a moderator:
mhm! yangu macho mie eye.jpg
 
Ipo bhana siku hizi swahiba.

Siye tulikuwa twapaita Jamhuri Park na wala hakukuwa kwauzwa urojo ndio maana nikahamaki...

Ilikuwa ni bustani tu kwa ajili ya watu kupumzika na kupata upepo mwanana wa bahari...

Hiyo ni Tanga ya zamani hata kabla ya uwepo wa daladala, ndiyo Tanga niliyoishi miye
 
Back
Top Bottom