Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Stori nzuri aisee.....
Ila uliponea katika tundu la sindano.......
Ila uliponea katika tundu la sindano.......
sue anajua?
daaah sijamaliza kuisoma nimeweka alama nitakuja kuimalizia baadae
Uuuuwi nusura nipate kiharusi...nimesoma kwa kihere here nikarukia aya ya mwisho ni mwaka sasa naishi kwa matumaini....big up bro,Mungu kakupenda never try it anymore! Pamoja na changamoto nyingi za maisha ila kuwa na uzima ni jambo lla heri!...Kuna watu nimewazoea humu ndani na nawachukulia kama ndugu zangu so mabalaa yao ni msiba kwangu!
mtulie vijana dunia ipo
Mmmh!! hili jina la Aneth inabidi nianze kulitilia mashaka, sijui ndio yule Aneth wa Mbagala aliyekupa lifti ya mwamvuli kituoni...teh teh!!!
Halafu kaka Mentor, TA hakuna Forodhani bana loh
Stori nzuri aisee.....
Ila uliponea katika tundu la sindano.......
Mr Rocky, asante mkuu!
Cha maana ni kutokufanya kabisa hiyo kitu mkuu! tulia tu au oa! and since mimi na kuoa ni ntu na Nkwewe basi nmeona nitulie kama maji ya mtungi!
Kuna uwezekano hapa nikaenda kumuona mama Mentor aje ategue kitendawili hiki na alazimishe umpe wajukuu maana naona huu mtihani nitaushindwa mimi
Maana bila mama Mentor kutaka wajukuu kwa lazima hutaoa aise
tanga c pakuchezea
Umenifurahisha kuna kibao cha mtu huru cha kaka Mpoto! Bonus truck..Ngoja na mimi nikapime, inawezekana sina...?
Stori nzuri na inafundisha sana. Vijana tutulizane.
‘Loneliness is directly proportional to the accumulation of proteins in the body.'UMETISHA SANAMentor stori tamu sana halafu umeijaza drama kibao ambayo inasababisha kufuatilia step by step haichoshi
Kwa story hii naamini wanaume mtajifunza namna ya kuchukua tahadhari sana mnapoanza mahusiano na kujikinga na vishawishi (hasa mazingira unayokuwepo wakati huo).
..Ngoja na mimi nikapime, inawezekana sina...?
Kweli tumekwepa mishale mingi, ni muda WA kubadilika
Dah yan umshukuru Mungu wako ndo alikuepusha na kikombe hicho kichungu...
Ila story hii inatukumbusha kuwa waangalifu lakini kwa vile akili kubwa hua inashndwa nguvu na ndogo majanga kama haya ndo hutokea.
Dah cpat picha roho ilivyotaka kukutoka baada ya kuambiwa yale maneno na muuza pharmacy...
Labda ajulie hapa..kuna things that are better left unsaid! I think this is one of them...
Ahahaha...yanalowanisha matofali mkuu! Inaweza kuanguka chunga sana...
Thanks mkuu!!!! M glad umejifunza jambo...
@mr rocky, asante mkuu!
Cha maana ni kutokufanya kabisa hiyo kitu mkuu! tulia tu au oa! and since mimi na kuoa ni ntu na Nkwewe basi nmeona nitulie kama maji ya mtungi!
Hilo la mentee silifahamu kwani naye hakujua yangu!
Kutulia ni moja ila ni vyema kumfahamu mwenzio kabla hamjaamua ku-do the nidful!!!
Tena na meridian club?kwa wahuni huko lol...