Tanga Sirudi Tena...

Tanga Sirudi Tena...

Never knew with women "James Hadley chase"

You never know bro...can't agree more! Somebody once sang, "...she'll keep your heart guessing, but she's yours if she stays...that's what it feels like, to love a woman!" (Cc: BAK )

*JHC one of my favourite writers. "Believe this, you'll believe everything."


I get something. But hii ni stor about. Imekuwa kama bongo movie.

Vyote ni mtazamo mkuu..
#thanks anyway
.

inaendelea lini..............................? Nzuri sn

Mkuu Mokoyo ikiendelea si ntakuwa nimeathirika mkuu!??

Kaka naomba niidevelop nikamuone shigongo tutoe kitabu maana imenivuta sana

Ntoe changu tu bro nikuachie..
.

Pole mentor kwa yaliyokukuta, linafundisha kuwa sio kila king'aacho ni dhahabu.

U r right once more mdida..not all that glitters, not all! #sadly
 
Last edited by a moderator:
Mentor mzee wa kujiloweka upo!!? Njoo huku watu wanataka kujua kama usharudia kipimo cha mezi mitatu baada

Nilipima miezi miwili baada ya mara ya mwisho kukutana na Aneth, hiyo haitoshi!??


Nimeshindwa kusoma yote.

Mpaka ulipofikia, umejifunza nini!???

Asnam, sometimes wanaume tunababaikaga, we angalia hiyo avator yako, kama wewe ndio uko hivyo halafu umekuja nyumbani kwangu, nisikudanganye, ndomu kuikumbka hapo sio rahisi, ntafikiria hivi, hivi kweli huyu nimle akiwa ndani ya nailon,mh hapana bana!

Ungemjua Asnam ni mzuri in real life kuliko hiyo picha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mentor story nzuri sana mimi ilishawahi kunitokea hio kama mara 3 ndugu yangu!
Ila Mwenyez Mungu nahisi anamipango na mimi. Ila jamani wenye virusi na kujua kisha kuishi vizuri tu wa mioyo ya ajabu mno.
Unajua mtu ukijihisi umeukwaa kila kona ukigeuka unaona matangazo ya ukimwi. Redioni, tv, magazet, mabango, story za marafiki, ndugu yani dah ni rahisi kuchamganyikiwa.
Tuwe na mioyo ya kuwaelewa wenzetu na kiwahurumia ila bila kuwaonyesha maana inawaongezea stress.

Mara TATU!??????!!!!! Mkuu...:glasses-nerdy::A S 41:

Duh, na starehe zote hizo umepona. Mshukuru sana muumba wako.

Mpaka kesho kutwa namshukuru!

Hii ni kesi kubwa kwa wana Tanga Wing. Ngoja niwasiliane na katibu afungue kesi haraka.

Cc Mwanyasi, KOKUTONA

Babu DC!!

Sina maana hiyoooooooooooooo....

It is a beautiful story based on genuine facts that can touch anybody.
Asante sana mentor umetoa somo tosha kwa wote. Ni hatari kunusanusa kila ukionacho maana vipo vinavyopalia.
Shukrani kwake Mola kwa kukunusuru; usirudie tena.

Thanks mbwigule.

Sirudii tena mkuu, natumai hakuna mwingine atarudia kosa langu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hii ni kesi kubwa kwa wana Tanga Wing. Ngoja niwasiliane na katibu afungue kesi haraka.

Cc Mwanyasi, KOKUTONA

Babu DC!!

Sina maana hiyo babu..
.


yaani wewe Mentor unataka nisimpolifai huku unacommpliketi mambo?

CC mwallu

[FONT=century gothic [USER=11959]Kaizer[/USER], Kaizer nionee huruma,

KWani moyo unaniuma,

Wengi wapo wanakupenda,

Niachie mwallu amenipenda,
Kaizerrrrr ooh Kaizer.[/FONT]


summary naomba.

Subiri yakukute, yalioukuta mtete....

Mentor nisingekuwa nimeshawahi kukutana nawe, tukala na kunywa pamoja hakika ningewaza mengine ila hakika wewe una vinasaba (DNA) na Mtambuzi.

Ni fundisho murua sana kwani linatufanya tuulinde ujana wetu.

Above of all tread hii ni kali...!!!

Ni hadisi ya kweli kabisa kaka mkubwa Arushaone.

Msalimie shem Lady doctor.


. . . . Hasahasa Tanga!!

Sina maana hiyoooooooooooooooo...

Mombasa siendi tenaaaaaaaaaaaaaaa
Majengo siendi tenaaaaaaaaaaaaaaaa
Kuna ndogondogoooooooooooooooooo

Haswaaaaa....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu shukrani kwa story yenye funzo kwa sisi vijana ila kupima mara 1 ukakutwa xalama haina maana mpaka uhakika zaidi yamara3 kupima baada ya hapo utakuwa salama salimini!

Karibu femus...

Ila hapo kwenye kupima mara mbili mbili mtanisamehe waungwana!



Pole kaka

Asante dada from another mother!

Oooh, AFADHALI maana kuna mdada tulishare, tena nilienda kavu kavu, na wewe ndo kaugonjwa kako.

Ahaha MESTOD, huenda mimi ni carrier...!

Hongera sana kwa kuwa jasiri na kuamua kupima. Mana kiukweli apo kwenye kupima palitaka moyo hasa baada ya kujua kama ulitembea na mwathirika.

Angel Nylon, ushapima wewe??! yataka moyo lakini...

hatimaye nimeweza kuisoma ila naomba tu uje unisomee tena. lol

Umejifunza nini eti Husninyo!??
 
Last edited by a moderator:
Karibu femus...

Ila hapo kwenye kupima mara mbili mbili mtanisamehe waungwana!





Asante dada from another mother!



Ahaha MESTOD, huenda mimi ni carrier...!



@angel nylon, ushapima wewe??! yataka moyo lakini...



Umejifunza nini eti Husninyo!??

nimejifunza mengi tu, ahsante kwa darasa.
 
:smile::smile:
nimeupenda huo wimbo

Sina maana hiyo babu..
.




[FONT=century gothic [B]Kaizer[/B], Kaizer nionee huruma,

KWani moyo unaniuma,

Wengi wapo wanakupenda,

Niachie mwallu amenipenda,
Kaizerrrrr ooh Kaizer.[/FONT]




Subiri yakukute, yalioukuta mtete....



Ni hadisi ya kweli kabisa kaka mkubwa Arushaone.

Msalimie shem Lady doctor.




Sina maana hiyoooooooooooooooo...



Haswaaaaa....
 
Ulishatoa sadaka Mentor kumshukuru Mungu wako lakini? God is great aisee ila nadhani kupitia kwako wengine wajifunze KUTULIA NA MPENZI MMOJA!!
 
Mhhh!!!Mentor mbona location yako inatisha???'ON MY WAY TO HEAVEN!!!!!!Duuuuuhh!!!
 
Kaizer mnasimplifai na kukompliket mambo gani?
halaafuuu.hili la wake wawili DEMBA analijua?

Shem Kaizer, huyu DEMBA naye ni yupi!??

nimejifunza mengi tu, ahsante kwa darasa.

Am glad my dia...! nextym usipate uvivu eee mtoto mzuri!??

ana bahati sana
anatakiwa apime tena na tena

Kirahisi tu mamii...utapima kwa niaba yangu!


:smile::smile:
nimeupenda huo wimbo

Utilie maanani...

mmmmh Mentor mbona unaongeza chumvi nyingi kwenye salad ww

Wapi hasa Asnam, wapi hasa!!!!


Ulishatoa sadaka Mentor kumshukuru Mungu wako lakini? God is great aisee ila nadhani kupitia kwako wengine wajifunze KUTULIA NA MPENZI MMOJA!!

Sadaka nilitoa mangi...!

Na somo hilooo ndilo nililodhamiria!!!!



Mhhh!!!Mentor mbona location yako inatisha???'ON MY WAY TO HEAVEN!!!!!!Duuuuuhh!!!

NDiyo mkuu...safari hii si rahisi kihivyo! Ina milima na mabonde hata christine ibrahim analifahamu!
 
Last edited by a moderator:
Wapi hasa Asnam, wapi hasa!!!!
teh teh kunisifia publicly,hujui watu watajenga imagination kubwa matokeo yake wakiniona live wanazimia kukuta mambo ni kinyume Mentorkhaaa
 
Last edited by a moderator:
Stori yako nzuri. Ukiichezea muvi ita heat.
Hebu nikumbushe forodhani kwa tanga ipo mitaa gani mana nilitoka huko kitambo.
 
duh.......... Mentor kumbe ndo maana ulikuwa vere down................you didnt want to meet your buddies, neither cook, nor smoke wee with em, hata kukaribisha watu unaishia kuwachungulia dirishani!!!
now i know!!!!!

Jitunze!
 
Last edited by a moderator:
Mentor hapa umeweka vipimo viwili kimoja kinathibitisha uwepo wa VVU kingine shwari! kwahiyo Hoso anao?
Pili umepima mara moja tu; lakini kuna wakati hivi vipimo vilikuwa vinatoa majibu ambayo ni wrong au vyenye utata!
Ushauri wangu: Hakina MENTOR warudie vipimo na safari hii waenda na akina Sue wao!

Mentor[B said:
;[/B].


View attachment 114770
Wasalaam wapendwa,
Mentor.
 
Back
Top Bottom