KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,109
jambo weye....aisee hii avatar usibadili tena!!!
Kwa kweli amependeza
jambo weye....aisee hii avatar usibadili tena!!!
teh teh teh nimecheka sanaaaaaMkuu Mentor...mie nimeshindwa kuacha kuloweka....pia hongera sana kwa kuwa mzima...tupo wengi sana
haijalishi we ni nani
haijalishi ni tajiri au masikini
haijalishi we ni nani
ukipata ukimwi ni kifoo....... (rudia chorus)
Mentor taratiiibu mdogo wangu... Usije fanya DEMBA akasusa na hali baraka zishatolewa. Mimi sasa hivi nalea watoto wa familia zote nashinda tu nyumbani, gfsonwin anasaidiana na baba watoto Kaizer kutafuta na kuchangia chochote ndani ya familia... Tunakuwa tumechoka mno jamani. So shem wako anahitaji mtu ambae kila wakati yupo fresh... Hapo thats where Demba comes in. :smile:
curious me...hivi tafsiri ya 'supermarket' kwa kiswahili ni ipi?
Kwani wewe hujaona?
Ina maana amekosa mandhari nyingine hadi aje kutuchafulia Tanga yetu?
Lazima mtu uwe na wivu na kitu chako bwana...
Babu DC!!
Me love you more... :busu
teh teh teh nimecheka sanaaaaa
ila inategemea unaloweka kwa nani mkuu, km sio wyf acha bana dangerrrr:shocked: