Tanga Sirudi Tena...

Tanga Sirudi Tena...

Mkuu Mentor, nimejikuta nikurudi kuisoma hii story kwa mara nyingine ili kujipa tafakuli kidogo juu ya maudhui yake. Hakika nimeipenda, ijapokuwa hakika hiki ni kisa cha kutunga kwa kadri ninavyoamini mimi lakini ukweli unabaki ya kwamba mambo kama hayo na hata zaidi yapo katika jamii zetu na jamii zenyewe ndio sisi wanadamu. Kumbe basi kama sio mimi, wewe basi kisa kama hiki kilishamkuta yule na huenda siku moja kinaweza kutokea kwangu ama wewe.

Sisi binadamu tumejaliwa uwezo wa kusahau mambo mazuri ama mabaya yanayotupata hapa duniani na hivyo kufanya tuzidi kusonga mbele na maisha ya wakati huo haijalishi ni magumu ama mazuri. Katika hili inabidi kwa wale tunaomwamini Mungu tuzidi kumshukuru yeye kwa huo uwezo wake anaotukilimia sisi waja wake maana vinginevyo huo mzigo tu wa mawazo ungeweza kuwa chanzo cha moja kwa moja kujongea mauti haijalishi ni mauti ya namna gani.

Nikurudi kwenye mada ya msingi, hakika inanikumbusha kuwa mimi kweli ni mkosefu, lakini je pale ninapogundua kuwa nimekosa natakiwa nifanye nini? Mkuu Mentor pamoja na kuwa alikuwa na mtu wake Sue (Suzana), kama alivyomtaja mwenyewe bila kuwa specific kama alikuwa mke ama mchumba ama mpenzi, lakini alipokutana na Aneth anajikuta akiingia katika lindi la mapenzi ya ghafla huenda kutokana na urembo wa Aneth lakini pia kutokana na mazungumzo ya wawili hao. Hapo hakika ni issue ambayo huwakuta watu wengi na hasa sisi wanaume, ila tu huwa tunatofautiana tu jinsi ya ku take action baada ya tukio la kwanza. Kuna wengine hutafakari sana na mwisho wa siku huishia kughairi, lakini wengine hawajipi muda wa tafakari, yeye anachofanya ni kutenda kadri ya mapenzi ya mwili. Nadhani hiki ndicho alichofanya mtoa mada. Kumbe basi kuna haja ya kujipa tafakari ili moyo uweze kukusaidia katika maamuzi, nadhani kwa kufanya hivyo huenda nafasi ya Sue wake ingeza kuchukuwa nafasi na kuachana na mrembo Aneth.

Lakini ndio hivyo tena mtoa mada ametenda kadri ya hitaji la mwili, ndio hicho hutukuta wengi lakini anajikuta tena akitumia vipimo vya macho (Visual inspection) kuamua kuwa mrembo Anethhawezi kuwa na ugonjwa wowote ambao ni hatari kwa maisha ya mtoa mada hasa ugonjwa usio na kinga wala tiba wa UKIMWI. Hakika hili nalo ni kosa la pili ambalo sisi binadamu tumekuwa tukilifanya tena mara nyingi na tukiwa na akili timamu. Kumbe basi mwandisi/mtoa mada anatuasa tubadilike, maana tunamuona mwishoni baada ya kusikia habari ambazo ziko kinyume na alivyokuwa akiamini anamua kutafuta njia mbadala ili aweze kupima, jambo ambala hakufanikiwa pia kutokana na upande wa pili kuwa na hakika pasipo shaka juu ya maambukizi ya ugojwa wa UKIMWI.

Aidha pia katika kutekeleza tendo la ngono mtoa mada atuonesha ni kwa jinsi gani walivyokuwa makini kutumia kinga (Kondomu) ili kuepuka utungaji wa mimba tu. Hakika hapa mtoa mada wamevaa uhusika unaoingaza jamii pana yetu sisi. Hivi ndivyo tulivyo katika maisha yetu ya kila siku ndani na nje ya familia zetu. Kumbe basi mtoa mada hapa napo anatupa tahadhari ili tuweze kubadilika. Anatutahadharisha hayo yote kwa lengo la kutuokoa kutokana na majanga mbalimbali ya hii dunia maana kwake yeye anasema yuko on the way to Heaven on earth, kumbe yeye already yuko Ablessed, na hivyo kazi ina[MENTION]BAK[/MENTION] kwetu.

Aidha pia pamoja na hayo makosa yote ambayo binadamu yoyote bila kujali jinsia yake anaweza kujikuta ameyatenda hapa duniani kama inavyojionesha kwa mtoa mada, bado anatuasa kujipa tafakuri na kutokata tamaa, maana mwanzoni yeye alijua tayari naye ni mwathirika, lakini pasipo hata kuchukua hatua ya kupata vipimo sahihi, na hivyo kujikuta katika lindi la mawazo, mara SUE wake, kiwanja nk, jambo linalomfanya kupungua uzito kwa kasi ya ajabu. Kumbe basi anatuasa tuchukue hatua ya kufanya vipimo sahihi na kuepukana na vipimo vya macho.

Lakini mwisho ya yote mtoa mada anatuasa tuwe waaminifu kwa wenza wetu ili kuepuka matatitizo kama hayo na kwa kufanya hivyo itampendeza Mungu na katika yeye tutapata kibali.

CC ladyfurahia, Paloma, Himidini, Ablessed, [MENTION]Chritine Ibrahimu[/MENTION] na wengine wote.
 
Last edited by a moderator:
Mentor taratiiibu mdogo wangu... Usije fanya DEMBA akasusa na hali baraka zishatolewa. Mimi sasa hivi nalea watoto wa familia zote nashinda tu nyumbani, gfsonwin anasaidiana na baba watoto Kaizer kutafuta na kuchangia chochote ndani ya familia... Tunakuwa tumechoka mno jamani. So shem wako anahitaji mtu ambae kila wakati yupo fresh... Hapo thats where Demba comes in. :smile:
ahsante mke mwenza kwa ufafanuzi. hapa Mentor asipoelewa itakuwa ni kiburi chake tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mentor, nimejikuta nikurudi kuisoma hii story kwa mara nyingine ili kujipa tafakuli kidogo juu ya maudhui yake. Hakika nimeipenda, ijapokuwa hakika hiki ni kisa cha kutunga kwa kadri ninavyoamini mimi lakini ukweli unabaki ya kwamba mambo kama hayo na hata zaidi yapo katika jamii zetu na jamii zenyewe ndio sisi wanadamu. Kumbe basi kama sio mimi, wewe basi kisa kama hiki kilishamkuta yule na huenda siku moja kinaweza kutokea kwangu ama wewe.

Sisi binadamu tumejaliwa uwezo wa kusahau mambo mazuri ama mabaya yanayotupata hapa duniani na hivyo kufanya tuzidi kusonga mbele na maisha ya wakati huo haijalishi ni magumu ama mazuri. Katika hili inabidi kwa wale tunaomwamini Mungu tuzidi kumshukuru yeye kwa huo uwezo wake anaotukilimia sisi waja wake maana vinginevyo huo mzigo tu wa mawazo ungeweza kuwa chanzo cha moja kwa moja kujongea mauti haijalishi ni mauti ya namna gani.

Nikurudi kwenye mada ya msingi, hakika inanikumbusha kuwa mimi kweli ni mkosefu, lakini je pale ninapogundua kuwa nimekosa natakiwa nifanye nini? Mkuu Mentor pamoja na kuwa alikuwa na mtu wake Sue (Suzana), kama alivyomtaja mwenyewe bila kuwa specific kama alikuwa mke ama mchumba ama mpenzi, lakini alipokutana na Aneth anajikuta akiingia katika lindi la mapenzi ya ghafla huenda kutokana na urembo wa Aneth lakini pia kutokana na mazungumzo ya wawili hao. Hapo hakika ni issue ambayo huwakuta watu wengi na hasa sisi wanaume, ila tu huwa tunatofautiana tu jinsi ya ku take action baada ya tukio la kwanza. Kuna wengine hutafakari sana na mwisho wa siku huishia kughairi, lakini wengine hawajipi muda wa tafakari, yeye anachofanya ni kutenda kadri ya mapenzi ya mwili. Nadhani hiki ndicho alichofanya mtoa mada. Kumbe basi kuna haja ya kujipa tafakari ili moyo uweze kukusaidia katika maamuzi, nadhani kwa kufanya hivyo huenda nafasi ya Sue wake ingeza kuchukuwa nafasi na kuachana na mrembo Aneth.

Lakini ndio hivyo tena mtoa mada ametenda kadri ya hitaji la mwili, ndio hicho hutukuta wengi lakini anajikuta tena akitumia vipimo vya macho (Visual inspection) kuamua kuwa mrembo Anethhawezi kuwa na ugonjwa wowote ambao ni hatari kwa maisha ya mtoa mada hasa ugonjwa usio na kinga wala tiba wa UKIMWI. Hakika hili nalo ni kosa la pili ambalo sisi binadamu tumekuwa tukilifanya tena mara nyingi na tukiwa na akili timamu. Kumbe basi mwandisi/mtoa mada anatuasa tubadilike, maana tunamuona mwishoni baada ya kusikia habari ambazo ziko kinyume na alivyokuwa akiamini anamua kutafuta njia mbadala ili aweze kupima, jambo ambala hakufanikiwa pia kutokana na upande wa pili kuwa na hakika pasipo shaka juu ya maambukizi ya ugojwa wa UKIMWI.

Aidha pia katika kutekeleza tendo la ngono mtoa mada atuonesha ni kwa jinsi gani walivyokuwa makini kutumia kinga (Kondomu) ili kuepuka utungaji wa mimba tu. Hakika hapa mtoa mada wamevaa uhusika unaoingaza jamii pana yetu sisi. Hivi ndivyo tulivyo katika maisha yetu ya kila siku ndani na nje ya familia zetu. Kumbe basi mtoa mada hapa napo anatupa tahadhari ili tuweze kubadilika. Anatutahadharisha hayo yote kwa lengo la kutuokoa kutokana na majanga mbalimbali ya hii dunia maana kwake yeye anasema yuko on the way to Heaven on earth, kumbe yeye already yuko Ablessed, na hivyo kazi inaBAK kwetu.

Aidha pia pamoja na hayo makosa yote ambayo binadamu yoyote bila kujali jinsia yake anaweza kujikuta ameyatenda hapa duniani kama inavyojionesha kwa mtoa mada, bado anatuasa kujipa tafakuri na kutokata tamaa, maana mwanzoni yeye alijua tayari naye ni mwathirika, lakini pasipo hata kuchukua hatua ya kupata vipimo sahihi, na hivyo kujikuta katika lindi la mawazo, mara SUE wake, kiwanja nk, jambo linalomfanya kupungua uzito kwa kasi ya ajabu. Kumbe basi anatuasa tuchukue hatua ya kufanya vipimo sahihi na kuepukana na vipimo vya macho.

Lakini mwisho ya yote mtoa mada anatuasa tuwe waaminifu kwa wenza wetu ili kuepuka matatitizo kama hayo na kwa kufanya hivyo itampendeza Mungu na katika yeye tutapata kibali.

CC ladyfurahia, Paloma, Himidini, Ablessed, Chritine Ibrahimu na wengine wote.
Nimeisoma mada kwa kweli inasikitisha mno. Hili kosa linafanywa na wengi na litaendelea kufanywa na wengi. Huwezi kumpima mtu ngoma kwa macho au kwa maneno yake. Ninachoweza kusema wandugu tubadilike na tuwe waamnifu kwa nafsi zetu na pia tumkumbuke Mungu kwani huu mwili asili yake ni hapa duniani hivyo hauna cha kupoteza sana sana Roho zetu ndio looser. Mbona kaka Mentor mshukuru Mungu manake umeponea chupu chupu.
 
Umeadimika sana dada ama ni mimi, mentor anatoa darasa huru kwa jamii kwa kujaribu kuuvaa uhusika ipasavyo ili ujumbe ufike.
 
Nipo kaka majukumu yananipeleka puta lkn huwa nakuwepo mbona. Sasa nimeelewa nilidhani Mentor ndio yalimkuta haya kumbe kauvaa tu uhusika asante sana kwa kunijuza. Hata hivyo sisi wanajamii yatupasa kubadilika manake wanasema majuto ni mjukuu au unaishia kusema ningejua which could be too late kwani hakuna substitution ya maisha.
 
Last edited by a moderator:
Mentor

Nilipofika hapa tu nikajua ni hadithi ya uongo ambao haufanani na ukweli nikaamua nisiendelee:

au twende forodhani kula urojo.

Tanga na Forodhani na urojo wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:
yaani nimesoma comment yako mpaka nimechoka sijafika hata nusu kwani ndiefu mno, ila ina mafunzo ndani yake hongera
ila sijaelewa kwanini umenimention hapo?
Mkuu Mentor, nimejikuta nikurudi kuisoma hii story kwa mara nyingine ili kujipa tafakuli kidogo juu ya maudhui yake. Hakika nimeipenda, ijapokuwa hakika hiki ni kisa cha kutunga kwa kadri ninavyoamini mimi lakini ukweli unabaki ya kwamba mambo kama hayo na hata zaidi yapo katika jamii zetu na jamii zenyewe ndio sisi wanadamu. Kumbe basi kama sio mimi, wewe basi kisa kama hiki kilishamkuta yule na huenda siku moja kinaweza kutokea kwangu ama wewe.

Sisi binadamu tumejaliwa uwezo wa kusahau mambo mazuri ama mabaya yanayotupata hapa duniani na hivyo kufanya tuzidi kusonga mbele na maisha ya wakati huo haijalishi ni magumu ama mazuri. Katika hili inabidi kwa wale tunaomwamini Mungu tuzidi kumshukuru yeye kwa huo uwezo wake anaotukilimia sisi waja wake maana vinginevyo huo mzigo tu wa mawazo ungeweza kuwa chanzo cha moja kwa moja kujongea mauti haijalishi ni mauti ya namna gani.

Nikurudi kwenye mada ya msingi, hakika inanikumbusha kuwa mimi kweli ni mkosefu, lakini je pale ninapogundua kuwa nimekosa natakiwa nifanye nini? Mkuu Mentor pamoja na kuwa alikuwa na mtu wake Sue (Suzana), kama alivyomtaja mwenyewe bila kuwa specific kama alikuwa mke ama mchumba ama mpenzi, lakini alipokutana na Aneth anajikuta akiingia katika lindi la mapenzi ya ghafla huenda kutokana na urembo wa Aneth lakini pia kutokana na mazungumzo ya wawili hao. Hapo hakika ni issue ambayo huwakuta watu wengi na hasa sisi wanaume, ila tu huwa tunatofautiana tu jinsi ya ku take action baada ya tukio la kwanza. Kuna wengine hutafakari sana na mwisho wa siku huishia kughairi, lakini wengine hawajipi muda wa tafakari, yeye anachofanya ni kutenda kadri ya mapenzi ya mwili. Nadhani hiki ndicho alichofanya mtoa mada. Kumbe basi kuna haja ya kujipa tafakari ili moyo uweze kukusaidia katika maamuzi, nadhani kwa kufanya hivyo huenda nafasi ya Sue wake ingeza kuchukuwa nafasi na kuachana na mrembo Aneth.

Lakini ndio hivyo tena mtoa mada ametenda kadri ya hitaji la mwili, ndio hicho hutukuta wengi lakini anajikuta tena akitumia vipimo vya macho (Visual inspection) kuamua kuwa mrembo Anethhawezi kuwa na ugonjwa wowote ambao ni hatari kwa maisha ya mtoa mada hasa ugonjwa usio na kinga wala tiba wa UKIMWI. Hakika hili nalo ni kosa la pili ambalo sisi binadamu tumekuwa tukilifanya tena mara nyingi na tukiwa na akili timamu. Kumbe basi mwandisi/mtoa mada anatuasa tubadilike, maana tunamuona mwishoni baada ya kusikia habari ambazo ziko kinyume na alivyokuwa akiamini anamua kutafuta njia mbadala ili aweze kupima, jambo ambala hakufanikiwa pia kutokana na upande wa pili kuwa na hakika pasipo shaka juu ya maambukizi ya ugojwa wa UKIMWI.

Aidha pia katika kutekeleza tendo la ngono mtoa mada atuonesha ni kwa jinsi gani walivyokuwa makini kutumia kinga (Kondomu) ili kuepuka utungaji wa mimba tu. Hakika hapa mtoa mada wamevaa uhusika unaoingaza jamii pana yetu sisi. Hivi ndivyo tulivyo katika maisha yetu ya kila siku ndani na nje ya familia zetu. Kumbe basi mtoa mada hapa napo anatupa tahadhari ili tuweze kubadilika. Anatutahadharisha hayo yote kwa lengo la kutuokoa kutokana na majanga mbalimbali ya hii dunia maana kwake yeye anasema yuko on the way to Heaven on earth, kumbe yeye already yuko Ablessed, na hivyo kazi inaBAK kwetu.

Aidha pia pamoja na hayo makosa yote ambayo binadamu yoyote bila kujali jinsia yake anaweza kujikuta ameyatenda hapa duniani kama inavyojionesha kwa mtoa mada, bado anatuasa kujipa tafakuri na kutokata tamaa, maana mwanzoni yeye alijua tayari naye ni mwathirika, lakini pasipo hata kuchukua hatua ya kupata vipimo sahihi, na hivyo kujikuta katika lindi la mawazo, mara SUE wake, kiwanja nk, jambo linalomfanya kupungua uzito kwa kasi ya ajabu. Kumbe basi anatuasa tuchukue hatua ya kufanya vipimo sahihi na kuepukana na vipimo vya macho.

Lakini mwisho ya yote mtoa mada anatuasa tuwe waaminifu kwa wenza wetu ili kuepuka matatitizo kama hayo na kwa kufanya hivyo itampendeza Mungu na katika yeye tutapata kibali.

CC ladyfurahia, Paloma, Himidini, Ablessed, Chritine Ibrahimu na wengine wote.
 
yaani nimesoma comment yako mpaka nimechoka sijafika hata nusu kwani ndiefu mno, ila ina mafunzo ndani yake hongera
ila sijaelewa kwanini umenimention hapo?

Usihofu kwa kuwa tu nimekumention, ila pale ambapo nikiziona story za Mentor nimekuwa na kawaida pia ya kumkumkumbuka ladyfurahia na wala sio kwa ubaya wowote ila kwa mapenzi mema ya Mungu.
 
Last edited by a moderator:
ahaaa! kumbe ni hilo tu ni sawa usijali
maana sikuelewa vizuri ndo mana nilikuulilza?

Back
Top Bottom