Wafanyakazi wa shirika hili wanapaswa kufikishwa mahakamani kwa uhujumu uchumi kwa taifa
It’s true and not true kwa ufahamu wangu mdogo huwezi over utilise equipment without paying the price,kuna mahali walikosea either kutobadikisha vifaa or kutokwendan na mahitaji ya watu means mahitaji ni makubwa kuliko uwezo wa vifaa something is wrong technically but they don’t say it.
 
Sisi tulio mipakani hii haituhusu na hatutaki mtuletee ujinga wenu wa grid na migao isiyoisha.

Hivi Samia hastuki kwamba anahujumiwa au?
 
Nafikiri hili Shirika tungelibinafsisha na kuwapa private company waliendeshe nasi kama Nchi tuwe tunapokea gawio tu Kila Mwaka.

Maana hichi kinachoendelea ni as if Nchi haina Waziri Mkuu/Makamu ama Rais.

Haiwezekani Umeme ukosekane wakati Maji yamejaa kwenye mabwawa hadi yanaleta mafuriko πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…