TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

TANESCO tunataka majibu ya tuhuma kuhusu udini

Na mara nyingi threads kama hizo tena zenye ushahid kama huu mods huwa wanaziondoaga

Hatutaki hizo double standards...

Threads za ajabu ajabu zisizo na ushahid zinawekwa had page mia huko...lakin kama hiz zenye ushahid eti huwa wanaziondoa kwa vigezo visivyo fahamika

Tunataka iache tuuweke huu ukweli

Na hali kama hii ukienda Pspf Lapf Gepf Nhif Ewura BOT,TPA Tra na kadhalika wamejaa hivyo hivyo

Tunataka Serikali ya magufuli alitizame hilo



Kuboresha Huduma ya Umeme Katika Maeneo yaliyopo Nje ya Gridi ya Taifa: Katika kipindi cha 2005 hadi 2015, utekelezaji wa mipango mbalimbali ya ukarabati na ufungaji wa mitambo mipya ya kufua umeme kwa kutumia mafuta katika maeneo ambayo bado hayajaunganishwa katika gridi ya Taifa imefanyika. Ukarabati wa mitambo ya kufua umeme kwa kutumia mafuta ulifanyika kwenye vituo vya Mpanda, Kigoma, Masasi, Mafia, Songea, Tunduru, Ngara na Biharamulo. Aidha, Serikali kupitia TANESCO ilinunua mitambo mipya 19 ya kufua umeme kwa kutumia dizeli iliyofungwa katika vituo vya Kasulu (1.25 x 2), Kibondo (1.25 x 2), Kigoma (1.25 x 5), Loliondo (1.25 x 4), Namtumbo (0.32 x 1), Songea (1.9 x 1) na Sumbawanga (1.25 x 4). Mitambo hiyo mipya iligharimu EURO milioni 35.94 sawa na Shilingi bilioni 57.5. Pia kuna wazalishaji binafsi waliowekeza katika maeneo yaliyopo nje ya gridi ambao ni Ngombeni – MW 1.4 na Andoya Hydro MW 0.5.

(viii)Kukamilika kwa Mradi wa Mawengi wenye Uwezo wa Kuzalisha kW 300 kwa Kutumia Maporomoko Madogo ya Maji: Mradi huo uliopo Wilayani Ludewa ulizinduliwa na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwezi Novemba, 2011, ambapo hadi kufikia Mwezi Octoba, 2014 zaidi ya kaya 1,153 zilikuwa zimeunganishiwa umeme.

Kukamilika kwa miradi hiyo kumewezesha upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini na kufanikisha kuondoa mgawo wa umeme hususan kuanzia Mwaka 2012 na hivyo kuboresha ufanisi wa utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii.
Pamoja na kukamilika kwa miradi hiyo, pia kumekuwepo na mikakati mbalimbali ya kuongeza uzalishazi wa umeme kwenye Gridi ya Taifa na je ya Gridi ya Taifa kama ifuatavyo;
 
Mkuu hapo Tanesco Hiyo Top management Muislam ni huyo mmoja tuh Alhajj Nazir Kachwamba...

Na Bado wanampiga vita sana huyo smart boy kachwamba.

Wana chuki sana hawa jamaa

Na sasa tunataka tuweke data za mashirika mengine yoote na tuende had kwenye government directory of employees tuone jins ukristo ulivyo tamalaki kwenye utumish wa umma

Na huko huwez kuskia neno udini na hiyo ni kwa kuwa wamejaa wao

Imetosha sasa


Utekelezaji wa Mradi wa Kinyerezi I – MW 150 kwa Kutumia Gesi Asilia: Serikali imefanya juhudi kupunguza utegemezi wa mitambo ya kufua umeme kwa kutumia mafuta ambayo ni ghali. Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kuamua kwa dhati na kwa kutumia fedha za Watanzania kutekeleza mradi wa Kinyerezi - I (MW 150). Mradi huo unaojumuisha ujenzi wa njia za umeme za msongo wa kV 220 (Kinyerezi - Kimara) na kV 132 (Kinyerezi - Gongolamboto) utatumia gesi asilia na utagharimu Dola za Marekani milioni 183.30, sawa na Shilingi bilioni 293.28. Utekelezaji wa Mradi huo ulianza Mwezi Januari, 2013 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Agosti, 2015.

(ii)Mradi wa kupeleka umeme miji ya Mpanda, Ngara na Biharamulo (ORIO): Mradi huu unajumuisha ufungaji wa jenereta mbili (2) zenye uwezo wa MW 1.25 katika kila mji, ukarabati wa njia za umeme zilizoharibika na ujenzi w njia mpya za umeme. Awamu ya kwanza ya mradi (development) ilianza September, 2010; na wamu ya pili ya mradi ambayo ni Utelelezaji, Uendeshaji na Matengenezo (Implementation and Operation & Maintenance Phase) ilianza Septemba, 2012. Hadi sasa mchakato mzima wa tenda kwa ajili ya kuwapata wakandarasi kwa ajili ya utelezaji wa mradi huu umekamilika na kazi ya utekelezaji ilianza mwezi Oktoba, 2013. Pia kumekuwa na mafunzo kwa ajili ya wajasiriamali wadogo na wa kati pamoja na mafunzo ya uongozi wa miradi.
(iii)Mradi wa Kufua Umeme Rusumo na Njia ya Kusafirisha Umeme: Mradi huu unahusisha ujenzi wa kituo cha kufua umeme wa MW 80 kwa kutumia maji. Mpaka sasa uchambuzi yakinifu umekamirika, Ripoti ya mazingira kwa upande wa usambazaji kutoka BENACO mpaka mpakani Rusumo tayari imekamirika na kibari cha kuendeleza mradi kinasubiriwa kutoka NEMC. Mchakato wa kupata njia ardhi kwa ajili ya njia ya usafirishia umeme toka Rusumo mpaka Nyakanazi ya kV 220 tayari umeanza.
 
Nimeona hayo majina aisee, wengi ni engineers, sasa kama watu mlikimbia fisikia mkategemea dini zitawabeba, mtabaki kulialia mpaka mfe,
Pigeni shule, watu wa dini ya uislamu kwa hasa wakazi wa mikoa ya pwani hamuwekei kipaumbele kabisa shule, na ni wavivu sana pia, that means mwamko bado upo chini.
Nchi hii hata ukiangalia vyuo vikuu binafsi ni vya kikristo.
Na ratio ya idadi ya wanafunzi kati ya dini hizi mbili ni hazifanani kabisa,
Lazima tuambizane ukweli,
Wenzenu wanajenga mashule, vyuo na mahospitali nyie mnajenga misikiti,
Amkeni usingizini, waislamu mliosoma hamasisheni watoto waende shule,

Dini hizi ni something else, ila elimu yako na maarifa yako ndio utu wako.
 
Unashangaa Msikiti NSSF. Mbona hushangai Msikiti wa pale Hospitali ya Taifa Muhimbili? Tehe tehe tehe!

Kwa waislam sala tano ni lazima usali popote ulipo kwa hio kuhusu waislam kuwa na kijisehemu chake cha kusalia mida yaa saa saba au alasiri au magharibi au ishaa au alfajir kwa wale shift worker its not bad as long uhuru wa kuabudu upo tz sio gopi ... Mie nawapa hongera pale muhimbili na pengine wanapata huo muda wa kumcha mola wao.
Mlio kazini mnao sali endeleni kusali msiache
 
Msome madrasa halafu ufanyekazi serekalini au msikitini??? Tumieni akili zenu.

Ondokeni kwenye mitandao muende shule.
 
We acha mkuu,mi wanangu Saidi na Sauda huwa na wasisitiza wasome lakini wasiweke Sana matumaini ya ajira za serikalini,
Wasome waje kujiajiri au ajira sekta binafsi tu, au LA wawe wagalatia

Jirani yetu hapa kuna m'mama mgalatia ana mtoto anatumia jina la Asha, huyu mtoto anafanya vizuri shuleni, lakini anafanyiwa mizwenge imekuja kuonekana kwamba tatizo ni jina analotumia.

Nimemfata jirani yangu nikamwambia, tunapowaambia nyie Makafiri mnaroho mbaya huwa unabisha...haya unaona sasa! Mama kimya kafunga mdomo!
 
Umeishiwa sera na hoja sasa unaanza kuhubiri udini.

Kazi zote hutangazwa kwa mujibu wa sheria na waombaji kazi hushindanishwa, anayepata ni mwenyesifa stahiki.

ACHA KUHUBIRI UDINI, WOTE WATANZANIA TUNAHAKI SAWA, HATUUKIZANI UDINI WALA UKABILA.

MTU PEKEE MWENYE UPEO MDOGO WA KUFIKIRIA NDIO HUKAA NA KUWAZA VITU VISIVYOKUWA VYA MSINGI
ungechangia hivohivo na kweny mijadala ya nssf ningekuona mkweli vingenevo ww ndo mdini
 
Nasikitika sana huku taifa linapoelekea. Tuhuma dhidi ya mfumo kupendelea dini fulani zimekuwapo muda mrefu, hakuna hatua muafaka dhidi ya kupuuzia hayo malalamiko.

Wakati fulani nyuma niliwaambia watu wangu wa karibu naamini Dr. Dau ni mchapakazi kwa kuwa output yake ilionekana dhahiri. Wapo waliomponda kwa tuhuma za kipuuzi kabjsa za udini.

Hisia za udini zimeanza kuota mizizi tena na zinatishia kuligawa taifa. Ni vyema sasa tutafute silaha ya kudumu, ni wakati sasa wa kutafuta mwafaka wa kitaifa.

Taifa lina makovu mengi ya udini, siasa na ukanda. Chonde chonde kama ambavyo wakristo hatupendi kuoneshwa hali halisi serikalini, ni vema tusiwasingizie wenzetu mambo ya kipuuzi na kuwasemea vijembe kuhusu elimu zao. Kwani wapo wasomi wengi mashuhuri ndani ya taifa hili ambao ni ndugu zetu waislamu.
 
Ilikuaje mkaa na kuwekeza ktk muda kutengeneza list hii yote. Ni kipi kiliwasukuma kufanya hili?

Inashangaza sana. Hawajamaa sijui wanataka nini. Raisi hajamsimamisha kazi Dau ila kamhamisha. Hata Raisi alivyo mhamisha hakusema ni mdini au laa.

Mbona mimi nyumba zangu ndogo zote ni waislam.
 
We nguruwe ina maana waislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??? pimbi kweli wewe, hadi leo unakuja na zilezile sound kuwa waislam hawajasoma, umefanya utafiti ukajiridhisha kuwa hawapo wenye qualifications, acheni roho mbaya! ina maana kitendo tu cha kuwa mkristo ni lazima uwe na chuki dhidi ya waislamu? hili li dini lenu ndo maana linazidi kukimbiwa na waumini, halina maana yoyote duniani, naona mmeachiwa miafrika muhangaike nalo
We nguruwe ina maana waislamu walioajiriwa NSSF hawana qualifications??? pimbi kweli wewe, hadi leo unakuja na zilezile sound kuwa waislam hawajasoma, umefanya utafiti ukajiridhisha kuwa hawapo wenye qualifications, acheni roho mbaya! ina maana kitendo tu cha kuwa mkristo ni lazima uwe na chuki dhidi ya waislamu? hili li dini lenu ndo maana linazidi kukimbiwa na waumini, halina maana yoyote duniani, naona mmeachiwa miafrika muhangaike nalo
Hujamuelewa kabisa huyo bwana. Umemnukuu vibaya
 
Wakristo mtaipeleka nchi pabaya hii ...
Endeleeni kufikiria waislamu ni wajinga na hawaoni mnayofanya....
 
Haya mambo ya udini sasa yamefika pabaya sana . Lazima usawa utendeke,

I wish tungeweza kupata list ya vijana wakiislam waliomaliza university na ambao hawana kazi na brief history idara walizo peleka maombi na wakati wa hayo maombi. Pengine ni kweli hatuna vijana wasomi ambao hawana kazi. TENA tungeanza kutoka Form 4 mpaka Bachelor Degree tuu.

Hii itawasaidia Ndugu zetu wa madhehebu zingine kuona tunavyo na tunavyo dhulumiwa .

We need to stand together to get a better Tanzania. Leo ni mkiristo vs MUUSLAMU, kesho itakuwa mkatoliki vs Mlutheran na itaendelea hivyo hadi totafikia pabaya sana.
 
Back
Top Bottom