TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,172
- 2,733
- Thread starter
- #11,561
Kwa sasa wateja wote wanaunganishiwa umeme wa njia moja ( single phase) tunawapatia mkopo wa unit 10 wakati mita zao zinasajiliwaHongera kwako mimi wameniweka nyumbani hadi saa hizi sijaenda mishe alafu siwaoni
Hawa jamaa ni vichomi balaa
Kuhusu kodi ya majengo nyumba yeyote inayokidhi vigezo iliyojengwa ndani ya mwaka wa fedha inapaswa kulipia kodi ya majengo hivyo bado upo ndani ya muda wa fedha