mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,842
- 2,391
Tanesco mna muhujumu mama sukuma gang haiwezekan kila juma mosi mnakata umeme
Ndugu mpendwa Mteja wetuTanesco mna muhujumu mama sukuma gang haiwezekan kila juma mosi mnakata umeme
Sorry: Nahisi ilikua ni suala la network..now iko poa.
Fuatilia mkuu hii ni hujuma imeanzaNgoja nifuatilie...
Tulia basi uandike vizuriMpesa hola, togopesa hola, numb mobile hola. Sijui nani anafanya huu mchezo.
Makadirio ni sh ngapi na huwa mnapima nini? Nataka kujua tu kwanza vitu vitakavyohitajika na garama zake kabla ya kujaza form.Chukua form kwanza tukupimie ndio tukupatie gharama halisi mpendwa mteja wetu