Tunaomba namba yako ya simu tafadhali.je swala hili ulilitolea taarifa ofisi ya eneo lako?
 
Jamani hii nguzo mliyonichomekea haina nyaya sasa mwezi umepita na umeme hamjaniletea😥😥😥 sasa limekuwa pambo.
Nawaombeni mje mniwashie umeme Bana!
Ni Mimi John M MWADANDA nipo Mbeya mjini kata ya Itende karibu na shule ya msingi!namba-0765432283
 
TANESCO kuna shida gani maeneo haya? Kuanzia kidatu, mang'ula, ifakara, lupilo na mahenge hakuna umeme siku ya 4 sasa. Taarifa za mitaani ni kwamba hili tatizo litachukua siku kumi,

Kuna ukweli gani kwenye hili? Nakuona upo online, naomba majibu tafadhali.
 
Ndugu mpendwa mteja wetu kuna tatizo la transfoma maeneo haya wataalamu wetu wanalifanyia kazi
 
TUMEPOKEA TAARIFA KWA HATUA ZAIDI MPENDWA MTEJA WETU
 
Jamani tanesco vipi mbona nimejaza form wiki nne zimepita Sasa na mkandarasi asharudisha form huko ofisini kwenu Sasa hizo gharama mtanijulisha lini Mimi nipo songea manispaaa kata mshangano block namba b karibu na godown la chimgege jamani nisaidieni au mnataka hela niimalizee?
 
Namba yangu 0767309201
Email wakunyumba@gmail.com
 
Mi naomba kubadilishiwa tariff niweze kutumia umeme wa nyumbani maana nanunua umeme wa elf tano unit 14.nipo Kimara mwisho hyo ni luku nliyonunua( LUKU
54182863412
GePG43EMDB18429194
14.1KWH

2471 4056 0842 6847 8000

Cost 4,098.37
VAT 18% 737.70
EWURA 1% 40.98
REA 3% 122.95
TOTAL 5,000.00)naombeni msaada wenu
 
Emmergency Moshi mjini wale wadada hawapokei simu
Juzi jmosi trh 03/08/19 mda kati ya saa 8 na 9 alasiri tulipiga no yao ya voda
0765 397 925
Na simu ilikuwa hewani wala siyo bussy.
Walijishahuri sana kuipokeaaaa
Naomba muwafundeeee.
 
Reactions: SIM
Arusha kata ya sombetini kuna tatizo gani? Tangia week iliyopita kuna katwa umeme tu gafla gafla bila taarifa,jumapili ilikuwa ni kukata na kuwasha kila baada ya sekunde chache jana mmekata saa tisa ukarudishwa saa tatu usiku apo kati kulikuwa na zima washa kama mbili saiz ni saa nne ata friji halijapata baridi mmeshaukata tena biashara zinaharibika jamani nini shida uku kwetu jamani?
 
Tunaomba namba yako ya simu tafadhali
 
Tanesco, naombeni hatua itakayofuata baada ya kuona Tanesco Wilayani kwangu Rungwe (Tukuyu) wameshindwa kunisaidia Suala langu.
Ni hivi Nyumbani Umeme haufiki Ndani Tokea July 28, 2019. Nikamwita Fundi umeme ili aangalie kama kuna hitilafu ndani, akaniambia Umeme haufiki kwenye main Switch hivyo lazima niende Ofisini nikareport. Nikaenda Jumatano ya July 31, 2019, wakachukua namba ya simu na kuahidi watakuja. Juma zima limepita hajaja, nikarejea tena Jumatatu ya August 5, 2019 napo wameniambia jibu lilelile kuwa watakuja mafundi. Sasa Mpaka muda huu sielewi kama wanaona tatizo langu halina Msingi au kwavile sina Jina Kubwa.

Tafadhali naombeni Utaratibu, niende wapi baada ya kuona hawa Tanesco wa Tukuyu hawataki kutatua tatizo langu maana ni lazima tatizo lipo kwenye Mita yenu ambayo imetundikwa
kwenye Nguzo yenu ya Umeme.

Ushirikiano wenu tafadhali.
Namba ya Simu:0762 998 966
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
 
Emmergency Moshi mjini wale wadada hawapokei simu
Juzi jmosi trh 03/08/19 mda kati ya saa 8 na 9 alasiri tulipiga no yao ya voda
0765 397 925
Na simu ilikuwa hewani wala siyo bussy.
Walijishahuri sana kuipokeaaaa
Naomba muwafundeeee.
Tumepokea taarifa

Tatizo ni nini?

Namba yako ya simu

Eneo

Wilaya tafadhali
 
TUMEPOKEA TAARIFA KWA HATUA ZAIDI
 
Kuna tatizo lilitokea kwenye transfoma kubwa ya maeneo hayo
 
Jina

Simu

Eneo lako tafadhali
 
Tafadhali fika ofisi ya eneo lako kwa hatua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…