Kama ni kwa mteja aliekidhi mbona nimejaza form huu ni mwezi wa NNE sijajibiw au kuambiwa cha kufanya?Mteja aliyekidhi vigezo anajaza fomu atakaguliwa kujiridhisha kama kweli amekidhi vigezo kwa ombi la kuwa kubdo fulani la matumizi
Jamani VP mbona kimya?Jamani tanesco VP?nilienda oficin mbezi kubadili tariff, nikajaza form ,nilaambiwa nitajuzwa,,ilikuwa no mwezi was tatu mpaka Leo sijapigiwa simu ..tatizo nini? Au mnatufukuza kwa kutuambia tujaze form?
Swala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetuNi kweli nakosa Huduma kwa Mita kuharibika week mbili kwa Shirika kubwa kiasi hiki.....?? Nateseka sana,majibu yenu ni KISIASA..... au kwa sababu Watanzania hatuna mmbadala Ndiyo maana mnalinga....
Naumia sana kuona linachukuliwa kama mzaha wakati limebeba Mapato yenu ajira kwa Watanzania na faida kwa Nchi kwa kulipa kodi kulingana na Ninachopata..... Week Mbili kweli....??SEALASwala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetu
Henry chuck,,,kimara ,,,ubungo,,,,0785549495,,,,meter no 2421909860Jin
Eneo
Wilaya
Namba simu tafadhali
Swala hili linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetuNaumia sana kuona linachukuliwa kama mzaha wakati limebeba Mapato yenu ajira kwa Watanzania na faida kwa Nchi kwa kulipa kodi kulingana na Ninachopata..... Week Mbili kweli....??
Asante ,nategemea majibu Leo mkuuTunaifatilia mteja wetu
Asante sana, natanguliza Shuklani zangu...Kazi hii ifanyika leo mpendwa mteja wetu
Tunaifatilia mteja wetu
Henry chuck,,,kimara ,,,ubungo,,,,0785549495,,,,meter no 24219098605
Tatizo ni nini na namba yako ya simu boss wetu? Tupo kukusikiliza na kukuhudumia muda woteHalafu kutumia hili neno "mpendwa mteja wetu" mnakera sana wakati hakuna uhalisi wowote kiutendaji! Tafuteni neno lingine la kuzugia mnapojibu hoja za watu humu
Umelipa tarehe ngapi kwa jiba gani?Mimi ni mkazi wa Kigamboni,nimeomba kuunganishiwa umeme na nimelipia,ili kuniungania inatakiwa nguzo 1 ndio umeme ufike kwangu,nimeambiwa nisubiri siku 60 je tatizo ni nini nguzo au waya au mita maana siku 60 kujenga nguzo 1 ni muda mrefu naomba ufafanuzi.
Tarehe 24/6/2019Umelipa tarehe ngapi kwa jiba gani?