TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

Mteja aliyekidhi vigezo anajaza fomu atakaguliwa kujiridhisha kama kweli amekidhi vigezo kwa ombi la kuwa kubdo fulani la matumizi
Kama ni kwa mteja aliekidhi mbona nimejaza form huu ni mwezi wa NNE sijajibiw au kuambiwa cha kufanya?
 
Jamani tanesco VP?nilienda oficin mbezi kubadili tariff, nikajaza form ,nilaambiwa nitajuzwa,,ilikuwa no mwezi was tatu mpaka Leo sijapigiwa simu ..tatizo nini? Au mnatufukuza kwa kutuambia tujaze form?
Jamani VP mbona kimya?
 
Ni kweli nakosa Huduma kwa Mita kuharibika week mbili kwa Shirika kubwa kiasi hiki.....?? Nateseka sana,majibu yenu ni KISIASA..... au kwa sababu Watanzania hatuna mmbadala Ndiyo maana mnalinga....
 
SEALA

Swala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetu
 
SEALASwala lako linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetu
Naumia sana kuona linachukuliwa kama mzaha wakati limebeba Mapato yenu ajira kwa Watanzania na faida kwa Nchi kwa kulipa kodi kulingana na Ninachopata..... Week Mbili kweli....??
 
Swa

Swala hili linafanyiwa kazi mpendwa mteja wetu
 
Naumia sana kuona linachukuliwa kama mzaha wakati limebeba Mapato yenu ajira kwa Watanzania na faida kwa Nchi kwa kulipa kodi kulingana na Ninachopata..... Week Mbili kweli....??
Kazi hii ifanyika leo mpendwa mteja wetu
 
Halafu kutumia hili neno "mpendwa mteja wetu" mnakera sana wakati hakuna uhalisi wowote kiutendaji! Tafuteni neno lingine la kuzugia mnapojibu hoja za watu humu
 
Tatizo ni nini na namba yako ya simu boss wetu? Tupo kukusikiliza na kukuhudumia muda wote
 
Mimi ni mkazi wa Kigamboni,nimeomba kuunganishiwa umeme na nimelipia,ili kuniungania inatakiwa nguzo 1 ndio umeme ufike kwangu,nimeambiwa nisubiri siku 60 je tatizo ni nini nguzo au waya au mita maana siku 60 kujenga nguzo 1 ni muda mrefu naomba ufafanuzi.
 
Umelipa tarehe ngapi kwa jiba gani?
 
86 Reactions
Reply
Back
Top Bottom