Wilaya

Namba ya simu

Tafadhali
 
TANESCO hapa nyumbani matumizi ya umeme yameongezeka ghafra mwanzoni umeme wa elfu tano 5000/= tulikuwa tunatumia siku 4 siku izi unakaa siku moja tu,na hakuna kitu chochote kilichoongezeka je tatizo linaweza kuwa nn
 
Mnaishi wangapi? Mnatumia vifaa gani? Wiring inefanyika mwaka gani
 
tuko 7 vifaa kuna mafrig 3 na kila chumba kina radio na tv bas na ivyo vifaa vipo mda mrefu hakuna alieongeza kifaa kipa,,, kuhusu wiring sijajua ni mwaka gan

Matumizi ya umeme yanayokana na:

1.Aina ya vifaa unavyotia

2.Tabia za watumiaji ambazo zinabadilika kadiri wanavyoongeza vitu au maisha kubadilika

3.Ubora wa mfumo wa wiring nyumbani kwako

4.Uchakavu wa wiring.inashauriwa kila.baada ya miaka mitano wiring ifanyiwe ukaguzi na kuboreshwa kama inavujisha umeme
 
ahsante maana turihisi labda mita itakuwa na tatzo inapoteza umeme
 
Kwa kweli tanesco bado hamko vzr KTK kuhudumia wateja wenu. Jmos UKONGA markaz napoishi Mita yetu haisambazi umeme. Mzee amepiga sana Simu, kaambulia kupewa TB no. Na ahadi kibao za kuja.
Tanesco WaPo mzambaraun si Mbali na kwetu.
Tumeshindwa kupandisha maji hakuna maji, tunashindwa kunyosha hakuna umeme, tunalala Giza hakuna umeme.
Inaudhi sana Toka jmoc asbh hadi Leo Jnne, hakuna aliyefika.

NB: Binafsi ntakuwa wa kwanza kuachana na Tanesco Siku litapokuja shirika lingine lenye Kutoa umeme.
 
Namba ya taarifa uliopewa ndugu mteja
 
Kero yangu ni pale ninapofanya maombi ya kuwekewa mita ya umeme ya luku.Tatizo ni pale unapofuata taratibu zote mpaka zikakamilika tatizo linaanza pale unapoambiwa utapigiwa simu ili mafundi waje kufanya Survey.Cha ajabu itapita hata mwaka hata usipigiwe simu.Mfano mimi maombi nilifanya mwezi wa 3/2019,mpaka sasa hamna simu niliyopigiwa na watu wengi wana tatizo hilo.Pia kuna mafundi wanaokushauri uwape 30,000 waje kufanya inspection nje ya muda wa kazi,najua hii ni rushwa.
 
Je wewe uliombwa hiyo 30000/= ? Na nani? Na je unafahamu kuwa malipo yote yanakuwa na risiti? Na yanafanywa bank? Basi tumia njia sahihi kupata huduma sahi.tunaomba namba yako ya simu uliyoandika tanesco au jina au namba ya fomu na wilaya tuingalie na kuifanyia kazi
 
Ya kwanza haipo ya pili haipatikani tupatie nyingine tafadhali na wilaya yako ambayo uliomba umeme tuangalie kwenye mfumo
 
Ninaweza nikakupa namba yangu private?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…