Ndio nilifika ila niliemkuta ni kama aliona nnachomwambia hakina mashiko wakati nyuma haikua ivo
namba yangu ya mita ni
22124129960 Rashidi Bilal
Upo kundi sahihi kabisa la matumizi. Watani wa matumizi yako kwa mwezi ni unit 77
 
Hizo sio Kaz ya tanesco mkuu.nipm nikuelekeze mwenyewe tangu nineweka nalipa umeme 5000 badala ya 2500 ya mwanZo
 
APA mbagala walikuja mafundi kutoka tanesco cha ajbu wakaondoka na mita bila Maelezo sahihi sanasana walisema nikaripoti ck flan.nimenda lkn mwez unaisha akuna umeme kwangu kila nikienda nambiwa akuna mita.
 
Nina tatizo la Umeme tangu wiki iliyopita fundi akagundua tatizo iko kwenye mita tumeripoti kituo cha KIBAMBA waka nipa na namba ya huduma kwa mteja,kila ukipiga jibu ni kwamba fundi atakuja mara waseme gari imekwama....kwa kweli ni K ERO tupu...mpaka nimeandika hapa kwa kweli hii kero imekua kubwa mno.
 
Mimi nimeshangaa nimehamishwa kutoka TARIF 4 wakati matumizi yangu ni chini ya unit 77 kwa mwezi na waga siweki umeme wa zaidi ya elfu 10 kila mwezi kwa nini? Halafu baada ya kuhamishwa nilivyonunua umeme nikapewa code no. Idadi yake ziko 40 natakiwa niziingize ndani ya sekunde 40 hivi kweli kiuhalisia inawezekana?

TANESCO mnatutesa wateja wenu bila sababu ya msingi kabisa. Meter no. 07051352925
 
Me mwenyewe ndo ivo nlitupwa kwenye taarif kubwa kutoka ile ilokuepo mwanza wakati ni mtumiaji wa kawaida
 
Kusema kweli Tanesco mpo kwasababu hamna mpinzani lakini kungekuwepo na hata kijikampuni kidogo kikatoa huduma nzuri Tanesco ingefutika Mwenye uso Wa dunia yaani mnachukiza kama aanavyochukiza ibilisi
 
Reactions: xox
TANESCO kama kuna mgao ambao ume target Segerea tu ni bora mkasema. Hii adha imekubuhu sasa. Inafika mwezi sasa kila siku lazima mkate umeme usiku mwingi (saa 7-9) na mida ya jioni ikizingatiwa muda huu baadhi ya imani zipo kwenye saumu, mnadhani ni haki kufuturisha watu gizani. Mkipigiwa customer care yenu kwa upande wa Tabata wana majibu ya kebehi kabisa. Mmoja alidiriki kujibu kuwa kama naumia sana na giza ninunue generator. Kweli hii haki? At least tangazeni basi kama kuna mgao ili watu wajue wanajiandaa vipi.
 
Segerea eneo gani na namba yako ya simu tafadhali
 
Kusema kweli Tanesco mpo kwasababu hamna mpinzani lakini kungekuwepo na hata kijikampuni kidogo kikatoa huduma nzuri Tanesco ingefutika Mwenye uso Wa dunia yaani mnachukiza kama aanavyochukiza ibilisi
Eneo

Tatizo

Namba ya simu

Namba ya taarifa
 
Huu uzi unasaidia nini iwapo mmetoa namba za simu kwa wateja wenu au wasio wateja wakiona tatizo walitaarifu shirika la tanesco mchukue hatua kwa wakati tanesco gongolamboto hakuna kitu wanafanya ukipiga simu kupokea ni shida na wakt mwingine hawakupi namba ya taarifa uliyotoa ya tatizo la umeme sehemu yako wanadai hakuna internate kufika sehememu ya tatizo ni shida wanakujibu tumemtaarifu fundi atakuja kesho kurekebisha hayo ndiyo majibu yao kazi hawafanyi kama huku banana umeme unakatika kila siku ukiripoti mchana kama umekatika saa 6 ujue utarudishwa kesho saa 4 asubuhi imekuwa ni kero mpk watu wa huku wanajiuliza au kuna mgomo baridi?
Karibuni sana JF
 
Reactions: xox
Segerea eneo gani na namba yako ya simu tafadhali
Segerea Mwisho (kwa asenga) karibu na kanisa katoliki.
I would like to assume you people are smarter than you portray yourselves. How on earth do you expect me to put my phone number on a public forum while i'm on pseudo name? Maybe while am at it, how about I should throw in my picture too.
Huu ni mfano dhahiri wa huduma yenu duni kwa wateja. Yani kiurahisi rahisi tu mnauliza namba za watu kwenye platform za public. Kama kweli una dhamira ya kutatua tatizo kuna option za private msgs. Tanesco mna safari ndefu sana mpaka kuweza kuja kuwa competent enough na hii yote ni kama mmoja wa mchangiaji alivyosema ni kwa sababu hamna mbadala wenu.
Sioni ajabu inakuwaje wafanyakazi wenu wana nyodo za kujibu watu kebehi.
0715768589 namba ya customer care yenu natumai kama mko advance kama mnavyojinadi mtakuwa na option the call recording facilities (which I doubt) for quality improve purposes.
Na wewe uliechaguliwa ku run hii forum unapaswa kwenda kusoma tena customer relations maana majibu yako yote ni ya kukariri tu. I pray your senior managers go through this thread. Good day.
 
Tunashukuru sana kwa maelezo yako mpendwa mteja wetu, tunakujulisha kuwa shirika limeamua kutumia njia mbalimbali kupokea taarifa na kuwapatia taarifa wateja wake hivyo njia aliyotumia mteja ndio hiyo hiyo anajibiwa. Hata hapa JF kuna private message ungeweza kuandika huko na kujibiwa lakini ukiandika hadharani halafu ukataka tusipokujibu ulipoandika utasema au wengine watadhani hatujibu wala.kuwajali wateja wetu

Tumia

Facebook

Twitter

Simu

Tovuti

Barua pepe

JF

Kufika ofisini

Nk

Tumeshuhudia wengine wakitoa tuhuma nzito dhidi yetu tukiwafata inbox au kuwaomba ushirikiano kwa kuwa huwezi kuchukua hatua kwa tuhuma ambazo haujasikiliza upande wa pili(natural justice) hivyo tunakusihi njoo inbox au tumia niia mbadala tukuhudumie
 
PATA ELIMU YA TAARIFA MUHIMU UNAZOPASWA KUWAPATIA TANESCO UNAPOTOA LALAMIKO, MAOMBI AU MAULIZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…