Naomba niungwe kwenye huduma ya kuookea taarifa ya matumizi na unit zilizotumika kupitiq simu namba 0655048302

Namba ya mita 43146855093

Ni 3 phase.

Maana hawa vijana wa kazi wananipiga sana
Tafadhali fika ofisi ya eneo lako utajaza fomu na kupatiwa maelekezo
 
..TANESCO Arusha Mnaboa,..huwa mnakata siku nzima mara kwa Mara umeme Jengo la NHC kibla Complex opposite na Jengo la NSSF Kaloleni.Tunashindwa kufanya kazi za ofisi.
 
Asanteni TANESCO, naomba kukumbushia suala la umeme Goba Kinzudi wa low voltage mtaturekebishia lini?
 
Mkuuu kuna MTU alikuwa amekodi from ya biashara,,tatizo kaondoka na mile kiremite cha kuingizia umeme ukinunua,then anadai kimepotea,,nifanyeje nipate kama kile ili nitumie umeme?maana nimefungua biashara ila sins umeme kwa sasa
 
Mkuuu kuna MTU alikuwa amekodi from ya biashara,,tatizo kaondoka na mile kiremite cha kuingizia umeme ukinunua,then anadai kimepotea,,nifanyeje nipate kama kile ili nitumie umeme?maana nimefungua biashara ila sins umeme kwa sasa
Andika barua kwenda kwa manager wa eneo lako utaambiwa ulipe kutokana na mita yako kisha utapatiwa kingine
 
Nipo singida, mimj nataka kuvuta umeme mteja mpya ila nazungushwa naambiwa service line haiwez kupita chini ya huu umeme wa hizi towers line mpya zenye malaki ya kilowatt zilizopita Singida kwenda Mwanza.

Ssa naomba kujua nifanye nini ili niweze kupata mapema iwezekanavyo huduma ya umeme maana mawasiliano mmetukatia wenyewe kupitisha huu umeme wenu.
Mkoa: singida
Wilaya: Singida mjini
Mtaa: katakana
Kitongoji: Muhawa
 
Nipo singida, mimj nataka kuvuta umeme mteja mpya ila nazungushwa naambiwa service line haiwez kupita chini ya huu umeme wa hizi towers line mpya zenye malaki ya kilowatt zilizopita Singida kwenda Mwanza. Ssa naomba kujua nifanye nini ili niweze kupata mapema iwezekanavyo huduma ya umeme maana mawasiliano mmetukatia wenyewe kupitisha huu umeme wenu.
Mkoa: singida
Wilaya: Singida mjini
Mtaa: katakana
Kitongoji: Muhawa
Tafadhali tunaomba maelezo zaidi namba ya simu na eneo unalotaka kuweka umeme linanumbali gani kutoka kwenye nguzo
 
Bwana Mkubwa Tanesco Je naweza kupata mita Kinondoni kwa sasa na utaratibu wake upoje na gharama tayari kuna mita ila nataka kutenganisha Mita kwenye nyumba ya Pili.
 
Bwana Mkubwa Tanesco Je naweza kupata mita Kinondoni kwa sasa na utaratibu wake upoje na gharama tayari kuna mita ila nataka kutenganisha Mita kwenye nyumba ya Pili.
Gharama kwa mita ya njia ya moja ni 321000 ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo na kama unaongeza mita ya pili ya kwanza haipaswi kuwa na deni
 
Wakati mikoa mingine ikipambana na tatizo la mgao wa umeme,kwa wenzetu moshi hali ni tofauti kabisa.

Huku umeme ni angalau 24 hrs 7 days kukatika kwa umeme ni nadra sana na ukikatika haizidi nusu saa usharudi
Unaweza kukaa wiki mbili mfululizo umeme usikatike hata sekunde
Kwa hili napongeza sana.

Huku ndo pakuinvest maana hakuna tatizo la umeme ukiliganisha na mikoa mingine tz
 
sizan kwa maana ata jana umeme umekata saa moja jion na kurud usku wa manane na sku izi imekua kawaida tu kukatika kwa umeme apa moshi.

Isipokua ile line ya KCMC tu ndio umeme haukatik mara kwa mara
 
Back
Top Bottom