TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

Hapa namba bado inasoma tuu. Sijui nitamwambia nini mama mwenye nyumba kuhusu kodi yake.mana nilimwambia nasubiri ajira watatoa muda si mrefu mama nitalipa kodi yote hadi ya kipindi cha korona. Matokeo yake jina patupuu:cool::cool::cool::cool::cool::cool:
Pole Mkuu ,Sina mb samahani unaweza nichekia Kama nipo
 
Sinahakika saana ila nimehesabu idadi ya majina ambayo yako ndani ya kiboksi yana range kwenye 41 halafu jumla ya viboksi vyote viko kama 140 ukizidisha hapo unaweza pata uwiano
Jumla kwa hesabu ya haraka haraka inakuja 5,740
 

Attachments

  • Screenshot_20201127-190344.png
    Screenshot_20201127-190344.png
    61.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom