Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 310
- 451
Endelea kuwahudumia tu mkuu 😁😁😁Mimi roho inauma mademu zangu 5 wote wamekosa kazi na wote wako na specialization tofauti, sayansi, arti lakini wote wamekosa kazi.
Nilitegemea wangepata kazi wanipunguzie mzigo lakini nimeangukia pua.