monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,490
- 13,022
Kesi ipiNdugu zangu,
Hii kesi ya Waziri wetu alifukuzwa kazini mpaka sasa imefika wapi? Au ameshamalizana na DPP kimyakimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Walianza kwa mbwembwe sana, sasa hivi wanauhofia ule msemo nani atamfunga paka kengele.Ndugu zangu,
Hii kesi ya Waziri wetu alifukuzwa kazini mpaka sasa imefika wapi? Au ameshamalizana na DPP kimyakimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha,nacheka kama mazuri vileAlionyesha ilani ya CCM wakamuacha, ule ni walaka wa kishetani ukiisha waonyesha CCM wenzako wanakusamehe