TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

Hapa kuna zaidi ya tunayo ambiwa. My instincts zinaniambia hii ni game inachezwa. Kwanini (motive behind) ndio swali nashindwa jibu.

Na speculate kua ni ujumbe Kwa mabeberu waliotaka ku destabilise nchi yetu kupitia wizara hii.

Narejea comment ya mwenzetu kua mwisho wa movie hii ni nole pr., Bargain sidhani, kangi ni best wa no 1. Na no 1 anaheshim jeshi.

Yote nilioadika ni mawazo binafsi
 
Mbuziiiiii ndio beberu?
IMG-20200223-WA0046.jpeg


Don't make a promise you can't fulfill...
 
Alionyesha ilani ya CCM wakamuacha, ule ni walaka wa kishetani ukiisha waonyesha CCM wenzako wanakusamehe
 
Hiyo kesi haitakuwepo watoto hao, nenda chadema kwa watoto wa kambo kesi za kusonya zinakuwa za kuua.
Watanyoka maana watalipa mabilioni kwa kesi za kusengenya. Wenye taarifa tupeni mrejesho bado uchunnguzi au hata fununu hakuna?
 
Ila JPM ni fisadi tu na yeye, nafikiri hii kesi ikienda mbali zaidi na yeye yumo, kilichotokea ni majamaa kumpunja Mzee Baba mgao wako, mwisho akasema "NYIE MUMEMWAGA MBOGA NA MIMI NAMWAGA UGALI".

Haiwezekani kesi ilianza kwa mbwembwe, PCCCB wamesema wana kesi ya kujibu, mashtaka teyari washaenda mpaka wa DPP ila mpaka sasa hakuna kesi yeyote ile iliyofika mahakamani, mbaya zaidi kosa lao walitakiwa kuwa Mahabusu kama wanavyofanya washitakiwa wengine, ila majamaa bado wapo uraini wanatumalizia oxygen yetu tu.

Kama hawana kesi yakujibu, bora waseme tu kama Rais alikosea kuwashtumu au walikuwa na makosa lakini Rais kawasamehe ili tujue moja!! Ila hawa NYAU wanaobebwa na mfumo, baada ya hii nchi kuwa huru, wote watafunguliwa mashtaka yao.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom