DOKEZO Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Dec 2, 2023
6
15
Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi, watu wanapokonywa umiliki wa maeneo yao hata baada ya kuyamiliki kwa zaidi ya miaka ishirini na kuambiwa wayanunue, wakati wapo watu waliouziwa na wenyeji kwa usimamizi wa serikali ya kijiji na wamefanya maendeleo ya kudumu vikiwemo makazi na biashara!

Fikiria watu wapo pale zaidi ya miaka ishirini, wameishi na kufanya shughuli zao muda wote huo,serikali za vijiji zikaimarishwa, shule na zahanati vikajengwa, barabara zakachongwa,umeme ukafikishwa, ajabu leo tuje kuambiwa kuwa maeneo yale ni ya serikali wananchi tumevamia!

Kama ni maeneo ya serikali, sheria inasemaje juu ya umiliki na matumizi ya ardhi? Serikali ilikuwa wapi miaka yote hiyo mpaka waje waibuke leo hii na kuleta usumbufu wote huu?

Ni kama kuna watu wachache wameona kuna fursa ya kupiga fedha kwa wananchi wanyonge, wameamua kututingisha na kutumia udhaifu wa ulalahoi wetu kutuvuna watakavyo.

Leo hii mtu akanunue eneo lake alililokwisha kuuziwa chini ya serikali ya kijiji kwa ushahidi wa nyaraka rasmi za serikali? Tunauziwa kwa bei ya kukomolewa kana kwamba sisi ni walowezi tusio na kwetu!

Upigaji umetawala manispaa, utaratibu wa malipo ni wa kubumba, bili zinazotolewa hazilipwi kwa control number, zinalipwa kwenye akaunti ya benki ya manispaa ya Kibaha, ushahidi wa namba ya akaunti na jina vipo, ni malipo gani ya serikali yanayolipwa kwa bank account kwa sasa badala ya namba ya malipo?

Hizi fedha zinakwenda wapi? Watu wamepoteza viwanja kwa kuuziwa watu wengine baada ya kushindwa kulipia,watu wamebomolewa majumba chini ya usimamizi wa askari wenye silaha na msafara wa viongozi wa manispaa.

Baraza ka madiwani linahusika katika kupitisha maovu haya, wananchi wanyonge wanabaki wakilialia tu na kunung'unika pembeni wasijue la kufanya.

Tafadhali tunaomba msaada ya kisheria katika hili, tusaidieni kupaza sauti tuokoe viwanja na nyumba zetu.

Pia soma:
= Majibu ya Halmashauri ya Kibaha kuhusu tuhuma za Rushwa katika urasimishaji viwanja
= TAKUKURU chunguzeni Halmashauri ya Mji wa Kibaha pananuka wizi kuhusu ardhi
 
Mkuu kidimu IPI hiyo? Mana nimeuziwa eneo hapo mazengo /Lumumba nimeambiwa itabidinilipie 1500/square meter badae serikalini... Aloniuzia hakunambia hii habari nilifichwa nimeambiwa badae.. msada nijue zaidi
 
Hiyohiyo ya Lumumba,Pangani na Mkombozi,mimi nimeenda nikapewa bili ya 6000/square meter,wewe umeuziwa lini? Alafu ebu fikiria unauziwa eneo na mtu analipia alafu unaenda tena kulipia serikalini fedha ya nini?
 
Kinachofanyika Kibaha Kidimu ni dhuruma ya mabavu ya waziwazi, watu wanapokonywa umiliki wa maeneo yao hata baada ya kuyamiliki kwa zaidi ya miaka ishirini na kuambiwa wayanunue, wakati wapo watu waliouziwa na wenyeji kwa usimamizi wa serikali ya kijiji na wamefanya maendeleo ya kudumu vikiwemo makazi na biashara!

Fikiria watu wapo pale zaidi ya miaka ishirini, wameishi na kufanya shughuli zao muda wote huo,serikali za vijiji zikaimarishwa, shule na zahanati vikajengwa, barabara zakachongwa,umeme ukafikishwa, ajabu leo tuje kuambiwa kuwa maeneo yale ni ya serikali wananchi tumevamia!

Kama ni maeneo ya serikali, sheria inasemaje juu ya umiliki na matumizi ya ardhi? Serikali ilikuwa wapi miaka yote hiyo mpaka waje waibuke leo hii na kuleta usumbufu wote huu?

Ni kama kuna watu wachache wameona kuna fursa ya kupiga fedha kwa wananchi wanyonge, wameamua kututingisha na kutumia udhaifu wa ulalahoi wetu kutuvuna watakavyo.

Leo hii mtu akanunue eneo lake alililokwisha kuuziwa chini ya serikali ya kijiji kwa ushahidi wa nyaraka rasmi za serikali? Tunauziwa kwa bei ya kukomolewa kana kwamba sisi ni walowezi tusio na kwetu!

Upigaji umetawala manispaa, utaratibu wa malipo ni wa kubumba, bili zinazotolewa hazilipwi kwa control number, zinalipwa kwenye akaunti ya benki ya manispaa ya Kibaha, ushahidi wa namba ya akaunti na jina vipo, ni malipo gani ya serikali yanayolipwa kwa bank account kwa sasa badala ya namba ya malipo?

Hizi fedha zinakwenda wapi? Watu wamepoteza viwanja kwa kuuziwa watu wengine baada ya kushindwa kulipia,watu wamebomolewa majumba chini ya usimamizi wa askari wenye silaha na msafara wa viongozi wa manispaa.

Baraza ka madiwani linahusika katika kupitisha maovu haya, wananchi wanyonge wanabaki wakilialia tu na kunung'unika pembeni wasijue la kufanya.

Tafadhali tunaomba msaada ya kisheria katika hili, tusaidieni kupaza sauti tuokoe viwanja na nyumba zetu.
Mwanajanvi jifunze kutafuta taarifa sahihi, na kwa watu sahihi.

The gullible nature ya Watanzania ndiyo inayowaweka kwenye shida mara zote. Tunasukumwa kwenye kufanya investments kubwa kwa hisia.

Maeneo mengi sana ambayo watu wamenunua na sio salama yameuzwa na wenyeji.

Nyumba ya familia ikiuzwa kinyume na makubaliano ya familia mara nyingi anayekuwa ameuza ni mwanafamilia ..sembuse Ardhi ambayo wewe hata kuhoji uhalali wake haufanyi unakimbilia kulaumu?!

Wananchi wmakwisha kujua kuwacjomatisha wananchi wenzao na serikali au na watu binafsi.. laba uwe mgeni kwenye ununuzi wa Ardhi... Migogoro mingi inafanywa na matapeli wanaojiita wazawa.

Huku mjini mtu akitapeliwa kiwanja au Mali yoyote ile akiuziwa na ikawa ya wizi mara zote mhusika(mtapeliwa) kumdai aliyeuza. Ambayo ndio mantiki hata kisheria..

Mbona kwenye hili wavamizi na wahanga wao mnajipanga kuichafua serikali?! Kwann usikamate aliyekuuzia?! Alipe gharama zote?!

Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70, kutokana na kuvamiwa na kupunguziwa kila siku kuaccomodate hizi shida mwisho wakalichoka wakaipatia Halmashauri ipime..

Initially ilikuwa halmashauri wavunje wapange na kupima ili kutoka access kwa wananchi upstanding kununua Ardhi. Mwisho kwa sababu ya Siasa wakakubali kupima kama walivyo.. na bei wakashusha ...

Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu
 
Shida ni kuwa serikali inakuwa imelala na kuwaacha watu wafanye watakavyo halafu inakuja kukurupuka baada ya watu kuishi na kujenga. Kodi tunazolipa ni za nini? Kwa nini wasifanye kazi 24/7 ili kuhakikisha watu wanajenga sehemu sahihi ukitilia maanani ujenzi unachukuwa muda mrefu na ni kitu cha wazi?
 
Mkuu kidimu IPI hiyo? Mana nimeuziwa eneo hapo mazengo /Lumumba nimeambiwa itabidinilipie 1500/square meter badae serikalini... Aloniuzia hakunambia hii habari nilifichwa nimeambiwa badae.. msada nijue zaidi
Ndo maeneo hayohayo jirani na pori la Mitamba.Hata hivyo tsh 1500 Kwa sq.meter bado cheap sana usikate tamaa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mwanajanvi jifunze kutafuta taarifa sahihi, na kwa watu sahihi.

The gullible nature ya Watanzania ndiyo inayowaweka kwenye shida mara zote. Tunasukumwa kwenye kufanya investments kubwa kwa hisia.

Maeneo mengi sana ambayo watu wamenunua na sio salama yameuzwa na wenyeji.

Nyumba ya familia ikiuzwa kinyume na makubaliano ya familia mara nyingi anayekuwa ameuza ni mwanafamilia ..sembuse Ardhi ambayo wewe hata kuhoji uhalali wake haufanyi unakimbilia kulaumu?!

Wananchi wmakwisha kujua kuwacjomatisha wananchi wenzao na serikali au na watu binafsi.. laba uwe mgeni kwenye ununuzi wa Ardhi... Migogoro mingi inafanywa na matapeli wanaojiita wazawa.

Huku mjini mtu akitapeliwa kiwanja au Mali yoyote ile akiuziwa na ikawa ya wizi mara zote mhusika(mtapeliwa) kumdai aliyeuza. Ambayo ndio mantiki hata kisheria..

Mbona kwenye hili wavamizi na wahanga wao mnajipanga kuichafua serikali?! Kwann usikamate aliyekuuzia?! Alipe gharama zote?!

Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70, kutokana na kuvamiwa na kupunguziwa kila siku kuaccomodate hizi shida mwisho wakalichoka wakaipatia Halmashauri ipime..

Initially ilikuwa halmashauri wavunje wapange na kupima ili kutoka access kwa wananchi upstanding kununua Ardhi. Mwisho kwa sababu ya Siasa wakakubali kupima kama walivyo.. na bei wakashusha ...

Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu
Sasa mbona sijakuelewa hapo mwishoni ndugu
 
1701844665959.jpg
Poleni sana.

Sheria inamtaka mtu anunue ardhi kutoka kwa mtu mmiliki halali.

Inaonekana hapo Kibaha Mji kuna wananchi waliuziwa maeneo ya Serikali bila kujua.

Ushauri ni kulipia kama ambavyo Halmashauri imeelekeza. Hiyo ndiyo njia rahisi sana ya kulimaliza hili tatizo.

Hata hivyo, baada ya Serikali kugundua kwamba wananchi hao hawakununua kihalali, Halmashauri imeelekeza kwamba wale ambao wapo tayari kumilikiswa kihalali basi walipie kiasi kidogo ndipo waendelee kuwa wamiliki halali.

Ila pia Halmashauri ya Mji Kibaha inapima na kuuza maeneo kwa bei nafuu.

.......................................
Wananchi Kibaha watapeliwa zaidi ya sh. Milioni 900 ununuzi viwanja "feki"

Zaidi ya sh milioni 900, zimetafunwa na watu wanaodaiwa kuwa ni madalali na baadhi ya viongozi wa vitongoji wakati wa mauziano ya viwanja vya eneo la serikali la Mitamba shamba namba 34 lililopo Kata ya Pangani, Halmashauri ya Mji Kibaha mkoani Pwani.

Mkuu wa mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ametoa kauli hiyo leo Novemba 3, 2023 kwenye kikao kilichowahusisha waandishi wa habari wa mkoa huo, wakuu wa wilaya, watalaam na wakurugenzi kutoka Halmashauri mbalimbali, kilichokuwa na lengo la kuwasilisha taarifa za utatuzi wa migogoro hasa ya ardhi.

Amesema eneo la Mitamba likiwa na shamba namba 34, lenye ukubwa wa hekta 4000 lilivamiwa na wananchi na kuendeleza shughuli zao.

Amesema maamuzi ya baraza la mawaziri lililokuwa na kazi maalumu ya kushughulikia migogoro ya ardhi nchini liliagiza waliovamia eneo hilo kuondoka mara moja.
Amesema licha ya kuwepo kwa uhalali wa serikali kupitia Wizara ya mifugo kumiliki eneo hilo lakini madalali waliendelea kuwauzia viwanja wananchi.

Hata hivyo, hivi karibuni katika mkutano wake na wananchi wa Kata ya Pangani, Kunenge alitoa muda wa siku 14 kukamatwa viongozi 24 wakiwemo mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana na madalali waliohusika kuwauzia wananchi viwanja katika eneo la shamba namba 34 la Mitamba mali ya Wizara ya mifugo na uvuvi.

Kunenge alisema, anayo orodha ya majina ya viongozi na madalali waliohusika kuwauzia kinyemela wananchi viwanja katika eneo hilo ambalo linamilikiwa na serikali na kwamba anayakabidhi kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU pamoja na Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua kwa mujibu wa sheria.

Aidha Kunenge alitoa agizo kwa Halmashauri ya Mji Kibaha, kupima eneo la shamba Namba 34 la Mitamba lenye ukubwa wa hekta 4000 na kubainisha mipaka yote na matumizi yake ili ijulikane kama vile eneo la ujenzi wa ofisi za umma na huduma za kijamii, makazi kabla ya kuanza oparesheni ya kuwaondoa wananchi walio ndani ya shamba hilo.

“Hekta 2963 kati ya 4000 zimerejeshwa kwa Halmashauri ya Mji Kibaha kwa ajili ya kutumika kwenye shughuli za maendeleo na kubakiwa na eneo la hekta 1037 .
 
View attachment 2834409Poleni sana.

Sasa kuna bei ya 6000 badala ya 1500 hii imetoka wapi?
 
Mwanajanvi jifunze kutafuta taarifa sahihi, na kwa watu sahihi.

The gullible nature ya Watanzania ndiyo inayowaweka kwenye shida mara zote. Tunasukumwa kwenye kufanya investments kubwa kwa hisia.

Maeneo mengi sana ambayo watu wamenunua na sio salama yameuzwa na wenyeji.

Nyumba ya familia ikiuzwa kinyume na makubaliano ya familia mara nyingi anayekuwa ameuza ni mwanafamilia ..sembuse Ardhi ambayo wewe hata kuhoji uhalali wake haufanyi unakimbilia kulaumu?!

Wananchi wmakwisha kujua kuwacjomatisha wananchi wenzao na serikali au na watu binafsi.. laba uwe mgeni kwenye ununuzi wa Ardhi... Migogoro mingi inafanywa na matapeli wanaojiita wazawa.

Huku mjini mtu akitapeliwa kiwanja au Mali yoyote ile akiuziwa na ikawa ya wizi mara zote mhusika(mtapeliwa) kumdai aliyeuza. Ambayo ndio mantiki hata kisheria..

Mbona kwenye hili wavamizi na wahanga wao mnajipanga kuichafua serikali?! Kwann usikamate aliyekuuzia?! Alipe gharama zote?!

Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70, kutokana na kuvamiwa na kupunguziwa kila siku kuaccomodate hizi shida mwisho wakalichoka wakaipatia Halmashauri ipime..

Initially ilikuwa halmashauri wavunje wapange na kupima ili kutoka access kwa wananchi upstanding kununua Ardhi. Mwisho kwa sababu ya Siasa wakakubali kupima kama walivyo.. na bei wakashusha ...

Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu
1701844665959.jpg
 
Shida ni kuwa serikali inakuwa imelala na kuwaacha watu wafanye watakavyo halafu inakuja kukurupuka baada ya watu kuishi na kujenga. Kodi tunazolipa ni za nini? Kwa nini wasifanye kazi 24/7 ili kuhakikisha watu wanajenga sehemu sahihi ukitilia maanani ujenzi unachukuwa muda mrefu na ni kitu cha wazi?
Mwanajanvi usidanganywe... Wananchi aidha kwa kupenda au kudanganywa huwa ni nadra sana kuelewa. Na taarifa hutolewa mwanzo kabisa... wengi huwa wanahadaika na maneno ya watu wenye nguvu ambao often ni wanufaika wa hii Migogoro.

Hakuna mahali ambapo utasikia mgogoro na serikali haikawahi sema kitu.. ila kama kawaida ya sasa wengi wanaamini serikali mwisho itachoka itatuachia.. na hili ni swala kubwa kuliko unavyoweza kudhani.

Swala uvamizi wa Ardhi ni a systemic means kukwapua Mali za serikali na watu binafsi na haya yanakuwa orchestrated na watu wanaoijua mifumo. Kapuku kama Mimi na wewe ni lini na wapi tunaweza kuvamia sehemu Kisha tuwatapeli watu na tuendelee kukaa hapo hapo bila woga?!

Na Mimi kinachoniuma ni kuwa Hawa wavamizi wanasikilizwa na serikali huku Wamama wenye uhitaji kabisa wajane na waghane hawana pa kujihifadhi. Halafu mtu anakuja kulalamika kuwa anaonewa.. tungekuwa na akili watanzania Hawa wanaovamia Tena Mali yetu ya serikali..hata kama ni Shamba lako mwanajanvi kama tunavyowachoma moto Hawa Wanaotuibia huku mjini simu au kuwaibia wapendwa wetu ilipaswa Hawa tuwakaange kabisa..ni watu selfish mno . Hata ukiwasikiliza ni entitled na wenye mentality ya it's either my way or MY WAY

Hawajutii hawana remorse hawaamini hata kwa mbali huenda wamemfanya kosa. Ni roho za kijambazi kabisa
 
Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu

ULIMAANISHA NINI HAPA?
Umenielezea kwa kunilaumu na kutoa maelezo ya sheria huko juu alafu aya hii kama umejinikanyaga
Umekimbilia kujibu badala ya kusoma.
Nisingesoma nisingekwambia sijaelewa
 
Mwanajanvi jifunze kutafuta taarifa sahihi, na kwa watu sahihi.

The gullible nature ya Watanzania ndiyo inayowaweka kwenye shida mara zote. Tunasukumwa kwenye kufanya investments kubwa kwa hisia.

Maeneo mengi sana ambayo watu wamenunua na sio salama yameuzwa na wenyeji.

Nyumba ya familia ikiuzwa kinyume na makubaliano ya familia mara nyingi anayekuwa ameuza ni mwanafamilia ..sembuse Ardhi ambayo wewe hata kuhoji uhalali wake haufanyi unakimbilia kulaumu?!

Wananchi wmakwisha kujua kuwacjomatisha wananchi wenzao na serikali au na watu binafsi.. laba uwe mgeni kwenye ununuzi wa Ardhi... Migogoro mingi inafanywa na matapeli wanaojiita wazawa.

Huku mjini mtu akitapeliwa kiwanja au Mali yoyote ile akiuziwa na ikawa ya wizi mara zote mhusika(mtapeliwa) kumdai aliyeuza. Ambayo ndio mantiki hata kisheria..

Mbona kwenye hili wavamizi na wahanga wao mnajipanga kuichafua serikali?! Kwann usikamate aliyekuuzia?! Alipe gharama zote?!

Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70, kutokana na kuvamiwa na kupunguziwa kila siku kuaccomodate hizi shida mwisho wakalichoka wakaipatia Halmashauri ipime..

Initially ilikuwa halmashauri wavunje wapange na kupima ili kutoka access kwa wananchi upstanding kununua Ardhi. Mwisho kwa sababu ya Siasa wakakubali kupima kama walivyo.. na bei wakashusha ...

Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu
Mkuu sorry kama hutajali,
Hiv hayo maeneo utaratibu wa kununua ni upi ? Wanapima kuanzia square meter ngapi?
 
Unasemaje "Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70" Wakati hapo unaona kuna barua ya Serikali yenyewe ikikiri kuwa Wananchi wanalipishwa Tsh 1,500 na sio 6,000? Pia jiulize malipo yote ya Serikali siku hizi yanafanyika kwa Control Number, kwa nini hayo yanafanyika kwa kulipa Bank?
 
Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.

Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu

ULIMAANISHA NINI HAPA?
Umenielezea kwa kunilaumu na kutoa maelezo ya sheria huko juu alafu aya hii kama umejinikanyaga

Nisingesoma nisingekwambia sijaelewa
Yaani mbele ya sheria kila mtu ni sawa.

Kwa muktadha huu, miliki ya Serikali ni sawa na miliki ya mtu yeyote.

Sasa Serikali ndiye mmiliki halali wa eneo lile, na bahati mbaya au nzuri, baadhi ya wananchi wameuziwa eneo hilo bila idhini ya mmiliki (Serikali).

Sasa mwenye mali(Serikali) kisheria na kihaki kabisa, angeweza kuwabomolea wote na kuchukua eneo lake.

Lakini, kulingana na sheria na uungwana, mmiliki (Serikali) ameamua kwamba alipwe kiasi cha 1500 kwa mita ya mraba ili awaache wale watu waendelee na maisha yao.

Maana yake ni kwamba, ili upate huu msamaha ni sharti uwe uliuziwa ardhi bila idhini ya mmiliki ambaye ni Serikali, ila kama hukuwahi kuuziwa hapo kabla basi lipia 6000 kwa mita ya mraba.

Huwezi kamwe kutumia mwanya wa msamaha wa mwenzio kuingiza matakwa yako, na Serikali hailazimiki kukuuzia ardhi kwa bei unayoitaka wewe.

Yaani hata wewe hakuna mtu anaweza kukulazimsiha kuuza mali yako kwa bei fulani.

Kama hapa hujaelewa basi tena
 
Back
Top Bottom