Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Nashangaa mwanaume unaposema et hua hupend huduma za wale wadada,et ukiona kuna mdada tuu huend...skuelew kabsaa,.wale wadada ni watundu jameni,daah ile burudan naipataga saloon,wacha tuu,endeleen hvo hvo
 
Mi kuna moja niliingia pale sinza...baada ya kunyoa nikaingizwa kwenye chumba fulani hivi kuoshwa...dada mmoja hivi white ana tako kubwa..bhac kidume nikavuliwa shati mtoto akaanza kunisugua kichwa...mzee ikasimama bhasi akaanza kuniambia pole ngoja nikusaidie mtoto akaenda kuufunga kabisa mlango...akaja akavua kila kitu na mimi akanivua tukabaki tunatazamana mtoto akaja akaikalia akaanza kukizungusha....kilichotokea cku ile siji kusahau hata 50 yangu haikuniuma
Maradhi yapo kweli siku hizi, una mke mkuu nimpe hongera zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee wangu ulikumbuka hata kuomba akuvalishe soksi ya dushe? Au "uliliwa" kavu? Maana hapa siwezi kusema ulikula ila uliliwa! Duh! Mna moyo aisee. I wish hizi ziwe ni story tu na sio reality....kulingana na hali ya "sukari" ilivyoingia "pilipili" siku hizi.....hatareee sana
Ndiyo chakujiuliza hapo kakalia wangapi yy yamkini alikuwa wa 7kama si wa 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
Hahahahaha
 
kiuhalisia mimi kama nikitaka scrub huwa nafanya home ananifanyia wife. barber shop naenda kunyoa tu na mashine yangu zaidi ntawaambia wanipake after shave kama sijaenda nayo yangu. zile mbwembwe nyingine nlishawahi kukutana nazo sehemu moja. nilinyolewa na bei ya kunyoa ilikuwa tsh 5000 mdada akaniita njoo huku nikaenda akanilaza kwenye kiti huku kichwa changu kakiegemeza kiasi flan na maziwa yake makubwa mazuri. akaanza kunifanyia scrub huku akinipumulia usoni na bahati nzuri alikuwa na breath nzuri. ananisafisha usoni mpaka vidole anaingiza kwenye masikio huku akinisuka suka na matiti yake...nlijua hiii yote ni huduma kutokana na ile tsh 5000.

maana hakunambia kuwa kuna hii huduma mpya zaidi tu ya kunambia " uncle njoo huku" nikaenda. akanambia "panda hapa" basi nilifuata maelekezo maana waswahili wanasema mtu hakatai wito. basi akanisugua sugua usoni kwa upole na mahaba.akaniosha na baadaye kuniruhusu nielekee kule kwa mwanzo. nilipofika kwa jamaa akaniuliza "unaionaje huduma yetu" nikamjibu ni nzuri..akasema karibu sana boss. akanambia jumla ni tsh 20,000.

nikamuuliza anasemaje? akasema kunyoa tsh 15,000 na scrub ni tsh 15,000. nikamwambia hilo jambo halitokeo kwangu. bahati mbaya ile scrub yenyewe nilikuwa najua inauzwa tsh 4000 kwa lile kopo.... lakini ukiacha tu hilo hawakuwa wamenambia kuwa kule natakiwa nilipie. nlimwambia tu hiyo huduma sikuomba na sikuwa na uhitaji nayo coz nliwaambia nimekuja kunyoa.... waliniona nimekasirika mpaka natetemeka basi wakachukua 5000 yao wakarudisha 5000 yangu nikaondoka huku nao nadhan wakiwa wamepata somo.
 
Mh mm Kuna mmoja sijui mtu wa tanga yule alinifanyia scrub na kuniosha huku ananiimbia taarabu za mahaba kwa sauti lainii wallahy sikurudi Tena maana baada ya kutoka pale niliitafakari sana ndoa yangu na mustakabari wake nikaona salama yake ni kutorudi Tena ktk saluni ile
 
Bado kuna wale kinadada WA saluni ambao chenji ikibaki anakwambia hii si nikanywe soda kaka huku kakulegezea jicho shit,unajikuta unalainika unaiacha hvhv huku unang'ata meno
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom