Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,408
- 1,334
Ni muhimu kuuliza bei kwani kuuliza sio ujinga. Tatizo wengi wetu hatuulizi bei kwanza matokeo yake unatajiwa mbei wa ajabu unaanza kuleta ubishi. Pia wengine hizo bei wanaziandika kabisa na kubandika ukutani. La msingi inabidi ujue gharama ya huduma kabla ujapewa huduma hiyo.
Bei ya saloon zinatofautiana kwa sababu ya utofauti wa kodi kati ya maeneo hayo. Kuna maeneo mengine yana kodi kubwa hivo wamiliki huweka bei za juu. Hivyo ni muhimu kujua upo eneo gani na kujiandaa kisaikolojia. Bei ya kunyoa sinza/kinondoni/masaki/mikocheni sio sawa na kibangu/mabibo/tegeta/boko la muhimu uliza kwanza. Kutokuuliza hakujawahi kumwacha mtu salama.
Sent using Jamii Forums mobile app