Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Ila mimi ndo mhanga mwenzenu, yaani akishaweka kichwa changu katikati ya kifua chake chochote atakachosema iwe mba, sikirabu, sijui manikyua hadi scrub za mbupu mimi Sawa tu, Nishapigwa sana.

Ila siku hizi saloon naenda na wife, mchaga anaijua hela balaa na nalindwa hadi kule ndani scrubuni.
 
hiyo ya sinza mori naipata washenzi sana wale wadada na wale vinyozi!! nilienda kunyoa pale huku nikijua kwa barbershop kama ile aizidi elfu 3..nilipomaliza nikaenda kuosha nikamuliza kile kidada scrub sh ngapi kikanambia ya kawaida elfu 3 nakasema hiyohiyo.
sasa kimemaliza kuniosha nakiambia sh ngapi jumla kikachanganya maneno eti elfu 11. nikamfata kinyozi eti nae ananiambia sijui labda ndo mlivokubaliana..nikasema nyie mnaniona wakuja sana sababu ya upole wangu nikawambia mimi dar nakuja mara kwa mara sana na nimesoma UDSM hapo juu hii ndo mitaa yangu..nikawapa buku 6 waliona aibu sana..
salauni za aina hii ni za kitapeli, yaani bei sio fixed bali ni makubaliano!
 
Vile vidada vya salon huwa vina mitego sana ukizubaa ovyo tu unanasa.
Sinza madukan pale nlikula mhudum mlemle ndan na ile natoka ndan bafun sjui tupaite, kinyozi ananiambia "vipi umeipenda eeh?" Yan kama nlienda kuoshwa dada kaweka komeo nikala na zigo
 
Sinza madukan pale nlikula mhudum mlemle ndan na ile natoka ndan bafun sjui tupaite, kinyozi ananiambia "vipi umeipenda eeh?" Yan kama nlienda kuoshwa dada kaweka komeo nikala na zigo

Duh panaitwaje hapo mkuu na mimi nikafanye karesearch
 
Hii SCRUB ya nini ? Mbona zamani haikuwepo na tulidunda tu. Mimi nikifika salon
Hata kuosha nywele sioshi naosheaga bafuni kwangu ndaani ndaaani kabisa
 
Hii SCRUB ya nini ? Mbona zamani haikuwepo na tulidunda tu. Mimi nikifika salon
Hata kuosha nywele sioshi naosheaga bafuni kwangu ndaani ndaaani kabisa
 
Kutokana na utapeli wa saloon hizi,wadada wa ajabu ajabu niliamua kununua machine yangu ya kunyolea(Home cut),nanyolewa na wife nafanyiwa scrub na wife kwisha habari.
 
Sinza madukan pale nlikula mhudum mlemle ndan na ile natoka ndan bafun sjui tupaite, kinyozi ananiambia "vipi umeipenda eeh?" Yan kama nlienda kuoshwa dada kaweka komeo nikala na zigo
Ilikugharimu sh ngapi jumla? Maana bila bei habari yako haijalamilika
 
Wajinga.
Halafu kuna vitabia vya kufikiri kila Mwanaume anayeingia salon anawaza ngono hasa kwa wahudumu wa kike

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wanachofanya kwenye hizo saluni ni utapeli na uhuni, wangekuwa wanadisplay bei zao ili mtu achague huduma anayohitaji kulingana na kipato chake, mimi hao wadada siku hizi sitaki waniguse kabisa kama ni kuoshwa sijui scrub nitafanyiwa home
 
Mimi huwa naingia saloon simple tu. Nikiona saloon ina mambo meeengi naipitia mbali. Na nikifika huwa nanyoa nywele na ndevu tu bei haizidi 5000/-.
Nikimaliza huwa wanajipendekeza njoo tukufanyie scrub nawaambia huwa sifanyi scrub, utasikia basi njoo tukuoshe nawaambia sioshi naenda nyumbani kuoga.
Sasa hivi washanizoe nanyoa na kusepa!
Mkuu nyie mnanyoa saloon kwa sh. 5000?, mimi haijawahi zidi 2000/= kunyoa aise!
 
Duh panaitwaje hapo mkuu na mimi nikafanye karesearch
Salon ipo opposite na AAR Sinza, ipo pemben ya Dry Cleaner. Sjui skuiz kama huduma bado ipo, 2015 nlikula vitu pale. Jifanye unaulizia na massage wakisema ipo tu ujue umeula.
 
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa

Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!

Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......

Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...

Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....

Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....

Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!

View attachment 560415
siendi mda sana hizi saluni.
 
mi ndio maana kamwe siendi salon zenye wanawake wanaofanya sijui scrub ....nikihitaji mke wangu atanifanyia.......salon ya kiume ikishakuwa na wanawake tu sikanyagi huko
Ahsante Mkuu una akili mnooooo,unafanyiwa bureeee halafu mnamalizana vzr na bi mkubwa
 
BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..

NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.

Tchao
Huu ni uonevu na utemi siyo ushujaa
 
Back
Top Bottom