Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,244
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa

Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!

Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......

Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...

Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....

Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....

Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!

Black-Beard-Barbershop-by-BV-Studio-Moscow-Russia.jpg
 
BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..

NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.

Tchao
 
Kuna jamaa yangu mmoja akiingia salon anauliza kabisa: Kunyoa nywele na ndevu sh ngapi? anapewa jibu. Na scrub je? anapewa jibu. Then analipa palepale na kazi inaendelea. Hata wale wadada wakianza kumnong'oneza sikioni kwa sauti zao zile za wiziwizi sijui kuna wave, dawa ya m'ba, massage ya kichwa au mgongo etc anawaambia aisee sina kitu. Nimeshalipa zote. Ukijifanya unakubali kila ''offer' wanayokuuliza kama utapenda kufanyiwa, hukawii kuacha misimbazi 6 pale
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
 
Niigeni mimi nikienda salon...hua nafanya ivi:

Kwanza nakaa kwejye kiti, nauliza kinyozi anaejua kunyoa vizur na asiye na mashine butu -staki kupaririwa ovyo na kwangu kunyoa ni starehe, staki maumivu. Afu nauliza bei, nabargain kama sikubaliani na bei. Hua namuliza kinyozi wangu anichagulie mdada msafi, fundi wa scrub na ASIYE NA TATOO (maana ni mwiko kwangu kuhudumiwa na mtu mwenye tatoo)

Nikiingia chumba cha scrub kwanza hua natoa maelezo ya huduma iliyonipeleka na nitafanya hiyo tu. Kisha hua namsifia dada yule kwa kumfahamisha kwamba ananihudumia kwakua amekua endorsed na kinyozi, sio msumbufu na hana tatoo.

Hua nikiulizwa kufanya huduma ambayo skuifuata pale hua nakua mkali sana na namuonya dada asirudie tena kunihoji kwakua najua kilichonipeleka.

Barbershop zote za Sinza na Kinondoni wananijua.

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Wewe ni muhenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom