MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Hahaaaah mkuu unataka location...niku pm number ya huyo dada aliyenipa huduma???Wacha Roho Mbaya mkuu toa Location basi
Hahaaaah mkuu unataka location...niku pm number ya huyo dada aliyenipa huduma???Wacha Roho Mbaya mkuu toa Location basi
Mkuu acha tu..but nilipima nipo vzrMzee wangu ulikumbuka hata kuomba akuvalishe soksi ya dushe? Au "uliliwa" kavu? Maana hapa siwezi kusema ulikula ila uliliwa! Duh! Mna moyo aisee. I wish hizi ziwe ni story tu na sio reality....kulingana na hali ya "sukari" ilivyoingia "pilipili" siku hizi.....hatareee sana
Mkuu ilikuwa ajali tu ileUnajiamini vipi na hizi STD's
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Sitaki kukumbuka but nipo salama mkuu
Hapo kwenye kuuliza bei ni kitu ya msingi sana.Mimi huwa nauliza bei kwanza ndo ninunue huduma/bidhaa.Tatizo wanaume wa Dar usuperstar unawagharim sana.Yaani mtu anaagiza tu bila kujua Bei,Sifanyi upuuz huo mimi.BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..
NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.
Tchao
Hapana mkuu, mi ni mteja tu wa hizi salun
ni kazi kama kazi zingine ingia zoom utaikuta
Na hii ndio dawa eti.Mimi ndio kiboko yao ntachezea maziwa yao na wataishia kuniosha kidevu tuu hata lotion hamna kupaka, wapuuzi sana
Namba hapana, nataka niende moja kwa moja eneo husika cha muhimu toa location tu basi ili niende nikanyoeHahaaaah mkuu unataka location...niku pm number ya huyo dada aliyenipa huduma???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wengi wanao ibiwa kizembe namna hiyo ni kwa sababu ya aibu na kujilegeza!
Mimi wakishaleta bla bla zao jibu langu ni moja tu, kama bure fanyeni vyote mnavyotaka lakini kama kuna charge, niosheni nisepe
Sent using Jamii Forums mobile app
na usikute ndo yeye dushe lako linatoa usaha af alisingizia mdogo wakeMkuu naona jinsia yako inabadirika kila uchao. Mara hii umesahau kuwa juzi ulikuwa mwanamke Msaada wa ushauri na matibabu
Eti kichwa kinawekwa kwenye nyonyo na nyonyo sijui linamassage na lenyewe? Tutaanza kufuatana hadi saloon sasa, akimaliza kunyoa ataoshwa nyumbani khaaa, mfyuuuu zao.
Teh hizo ni mbinu za kuhujumu uchumi, kila service unaitikia tu "sawaaa"
Duh me nilikuwa ninawambiaga me mkulima nina mashamba morogoro kuosha hapana kupaka mafuta hapana duh siku moja nikakutana na macho ya ajabu unaosha nywele ndio unafanya scrub nikajikuta ndio dawa ya mba ndio sina hata tone la mba ili kuwa mbezi get well sijuwi nini nini ndio dah akalamba 35,000 sijarudia tena kosa la kusema ndio adi leo!!
Kwasasa ni kunyoa tu kuosha nyumbani full stopme nipo kwenye short course hapa,najifunza kunyoa,scrub na udambu udambu ote,soon ntakua namfanyia kila kitu babaa no more kwenda saluni
Hahaa mjini shule. Em ona kichwa kilivyowekwa kwa nyonyo hapoView attachment 561425
Heaven Sent espy
Sikujua kama nywele huongezwa chumvi na pilipili Saloon! [emoji16] [emoji28] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app