Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

tokana natabia za hao wadada mimi.nikiaona hizi salon wanazoita ni zakisasa huwa sitii mguu akya mama coz ni washenzi wa tabia kupita,bora niende kwenye salon zetu za mtaani za buku mbili.

lazima tulipe kodi
 
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa

Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!

Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......

Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...

Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....

Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....

Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!

View attachment 560415
Sema salon si saloon
 
Mimi bado sijajua kama itakuja kunitokea maana kuna siku nilienda kunyoa baada ya kumaliza tu nikaambiwa nenda chumba kile kaoshe,
Baada ya kumaliza kuoshwa muhudumu ile anataka kunipaka mafuta tu nikamwambia hapana, powder....HAPANA, nikatoka nikalipa elfu tatu kisha nikasepa
 
mi huwa ni kunyoa na kusepa tu, mengine nyumbani, niliwahi kupewa bili ya 13,000 iliniuma sana. japo hii huduma ya blow job nimeikubali sana naomba mniPM saluni inapopatikana aisee.
 
kuna saluni 1 msasani nimeingia kunyoa, wakati naendelea kunyoa wakaja wadada wa3, kinyozi akaninong'oneza chagua wa kukusafisha mba, nikamwambia lilie tinginya leusi, nikasia ANNa andaa maji moto na dawa ya mmba, kinyozi alivyomaliza akaniambia ingia chumba kile, kuingia nikamkuta yule dada kavaa taiti tu kashika taulo akaniambia kaa, nikaambiwa vua shati nikavua, akaniambia kwanini usifanye scrub kabisa nikajikuta nasema haya, wakati anaendelea kunifanyia scrub akawa ananipapasa shingoni na na kifuani, nikaanza kusikia nyege balaa dushe likavimba nikakaa kimya, kumbe yeye ananiangalia kwenye kioo, akaniuliza vipi umebanwa sana nikamwambia sana, akaniambia ngoja nikusaidie akanishusha suruali mi nimeshangaa tu, mara dushe likaanzakupakwa mafuta mpaka mapajani, raha niliyosikia, akaitia mdomoni huku anatumia na mkono mara nikasia anasema usinikojolee mdomoni, kilichofuata nilisikia ****** nini ni nilikwambia usinikojolee mdomoni, nikatolewa ndani ya kile chumba hata scrub haijaisha, sijaoshwa kichwa, yule dada aanidai elfu 50 kwa kumchafua mdomoni, kinyozi anadaielfu 15, mfukoni nina 12700 tu, wakachukua 12700 zote wakawa wananidai, wakaniitia police nafikiri ni police wanayemjua, kuja akaniambia unataka starehe wakati huna pesa, police ilipelekwa na deni nililipa, nakumbuka siku ile nilipanda daladala mpaka mabibo huku sina nauli, konda akanikoromea akanisamehe, Aiseee hizo saloon ni hatari kama hamjapatana malipo, sikuile nilidhalilika sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mi ndio maana kamwe siendi salon zenye wanawake wanaofanya sijui scrub ....nikihitaji mke wangu atanifanyia.......salon ya kiume ikishakuwa na wanawake tu sikanyagi huko
Tupo wengi!
Mimi hata kama nataka kununua bidhaa sehemu, kama kuna wanawake wapowapo tu hata kama ni muuzaji, nahairisha kununua.
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
hiyo ya sinza mori naipata washenzi sana wale wadada na wale vinyozi!! nilienda kunyoa pale huku nikijua kwa barbershop kama ile aizidi elfu 3..nilipomaliza nikaenda kuosha nikamuliza kile kidada scrub sh ngapi kikanambia ya kawaida elfu 3 nakasema hiyohiyo.
sasa kimemaliza kuniosha nakiambia sh ngapi jumla kikachanganya maneno eti elfu 11. nikamfata kinyozi eti nae ananiambia sijui labda ndo mlivokubaliana..nikasema nyie mnaniona wakuja sana sababu ya upole wangu nikawambia mimi dar nakuja mara kwa mara sana na nimesoma UDSM hapo juu hii ndo mitaa yangu..nikawapa buku 6 waliona aibu sana..
 
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa

Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!

Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......

Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...

Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....

Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....

Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!

View attachment 560415
Duh
 
Wapuuzi sana, siku nakutana nao watafunga hiyo saloon
 
Ila muda mwingine ni ubwege wa mteja mwenyewe. Umeenda saloon kwa dhumuni la kunyoa tu halafu unaulizwa tukufanyie scrubing unakubali tu. Halafu baadaye ukitajiwa bili macho yanakutoka. Kwanini ulikuwa unakubali kubali tu kibwege?
 
Back
Top Bottom