Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Kwa hili la kushawishi wateja kuwa wana MBA kichwani na dawa ipo hilo lipo sanaaa. Kikubwa ni kama wadau wengine walivyochangia mtu unatakiwa ujue unahitaji nini
 
kuna saluni 1 msasani nimeingia kunyoa, wakati naendelea kunyoa wakaja wadada wa3, kinyozi akaninong'oneza chagua wa kukusafisha mba, nikamwambia lilie tinginya leusi, nikasia ANNa andaa maji moto na dawa ya mmba, kinyozi alivyomaliza akaniambia ingia chumba kile, kuingia nikamkuta yule dada kavaa taiti tu kashika taulo akaniambia kaa, nikaambiwa vua shati nikavua, akaniambia kwanini usifanye scrub kabisa nikajikuta nasema haya, wakati anaendelea kunifanyia scrub akawa ananipapasa shingoni na na kifuani, nikaanza kusikia nyege balaa dushe likavimba nikakaa kimya, kumbe yeye ananiangalia kwenye kioo, akaniuliza vipi umebanwa sana nikamwambia sana, akaniambia ngoja nikusaidie akanishusha suruali mi nimeshangaa tu, mara dushe likaanzakupakwa mafuta mpaka mapajani, raha niliyosikia, akaitia mdomoni huku anatumia na mkono mara nikasia anasema usinikojolee mdomoni, kilichofuata nilisikia ****** nini ni nilikwambia usinikojolee mdomoni, nikatolewa ndani ya kile chumba hata scrub haijaisha, sijaoshwa kichwa, yule dada aanidai elfu 50 kwa kumchafua mdomoni, kinyozi anadaielfu 15, mfukoni nina 12700 tu, wakachukua 12700 zote wakawa wananidai, wakaniitia police nafikiri ni police wanayemjua, kuja akaniambia unataka starehe wakati huna pesa, police ilipelekwa na deni nililipa, nakumbuka siku ile nilipanda daladala mpaka mabibo huku sina nauli, konda akanikoromea akanisamehe, Aiseee hizo saloon ni hatari kama hamjapatana malipo, sikuile nilidhalilika sana
Pole sana bro
Hyo saluni taitembelea mkuu.
 
HILI JAMBO NI KWELI KABISA, KUNA MOJA IPO MAENEO YA MLIMANI CITY WALIMFANYIA HIVYO MDOGO WANGU ALIKUWA AMETOKA KIJIJINI NIKAENDA PALE NIKATAKA KUMTOA MTU ROHO, SHUKURANI KWA KIONGOZI WAKE AMBAYE ALIRUDISHA HELA NA KUOMBA MSAMAHA LA SIVYO LEO NINGEKUWA GEREZANI KIFUNGO CHA MAISHA AU KUSUBIRI KUNYONGWA MAANA NINGEFANYA TUKIO AMBALO DUNIA NZIMA INGESHANGAA...SASA WEWE MWENYEWE JIULIZE NI TUKIO GANI. NYINGINE MBILI ZIPO PALE SINZA-MORI ZINA WANAWAKE SAMAHANI NAOMBA NITUMIE JINA LA MALAYA...WALITAKA KUNILETEA ZA KULETA NIKAWAAMBIA WAIONE HII SURA HIVIHIVI WASITAKE KUTENGENEZA VIFO VYA SIMULIZI...
hahahahahahahahhhahahah
 
BINAFSI NILIWAHI KUKUTANA NA HILO JAMBO MWAKA 2008 KWENYE SALON MOJA HV PALE MBEZI TANGIBOVU, BAS WAMENINYOA, NILIFUATANA NA WADOGO ZANGU, KUMBE WAKAT NANYOLEWA WALE WADOGO ZANGU WA KIUME WAKAWA WANASAFISHWA KUCHA NA MIGUU BILA MI KUJUA.. BASI IMEKUJA BILI ATI NILIPE ELFU 30. NIKAWAKATALIA NIKAWAAMBIA SIJAWAPA RUHUSA YA KUWASAFISHA MIGUU.. NILIKOMAA MZEE KIPIND HKO NPO SEKONDARI.. NIKAWAAMBIA SILIPI.. MKITAKA HATA POLISI TWENDENI... SIKUWA NA AIBU (MAANA WENG WANAIBIWA KWA AIBU ZAO).. WALINIMAIND LAKN NILIWALIPA BUKU 5 YA KUNYOA NKASEPA..

NB:AIBU NDO INAWAPONZA WANAUME WA DSM KWA HOFU YA KUDHARAULIKA, SASA KUNYOA UNALIPAJE ELFU 80 LABDA? KAMA HUJUI BEI ULIZA.. NA UWE NA UAMUZ WA VITU UNAVYOVITAKA NDYO VFANYIKE.. HATA UNAPOKWENDA MGAHAWAN ULIZA BEI NDIYO UAGZE MSOSI.

Tchao
Me huwa nikiingia ht hotel ambayo cjawah kuingia ntauliza kila chakula na bei yake, then nafanya chaguzi hata km nina dem mpya na haijalishi hata km mfukoni nina milioni ctakagi ujinga wa kuletewa bili ya ugali samaki kwa elfu80, wengne aibu inawaponza wakiwa na madem eti wataoneka wanachungulia wallet sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu hizo huwa napata mtihani sana nkitaka kwenda saloon , yaani niende salon gani ambako hakuna huo upuuzi? Ni shida
 
kuna saluni 1 msasani nimeingia kunyoa, wakati naendelea kunyoa wakaja wadada wa3, kinyozi akaninong'oneza chagua wa kukusafisha mba, nikamwambia lilie tinginya leusi, nikasia ANNa andaa maji moto na dawa ya mmba, kinyozi alivyomaliza akaniambia ingia chumba kile, kuingia nikamkuta yule dada kavaa taiti tu kashika taulo akaniambia kaa, nikaambiwa vua shati nikavua, akaniambia kwanini usifanye scrub kabisa nikajikuta nasema haya, wakati anaendelea kunifanyia scrub akawa ananipapasa shingoni na na kifuani, nikaanza kusikia nyege balaa dushe likavimba nikakaa kimya, kumbe yeye ananiangalia kwenye kioo, akaniuliza vipi umebanwa sana nikamwambia sana, akaniambia ngoja nikusaidie akanishusha suruali mi nimeshangaa tu, mara dushe likaanzakupakwa mafuta mpaka mapajani, raha niliyosikia, akaitia mdomoni huku anatumia na mkono mara nikasia anasema usinikojolee mdomoni, kilichofuata nilisikia ****** nini ni nilikwambia usinikojolee mdomoni, nikatolewa ndani ya kile chumba hata scrub haijaisha, sijaoshwa kichwa, yule dada aanidai elfu 50 kwa kumchafua mdomoni, kinyozi anadaielfu 15, mfukoni nina 12700 tu, wakachukua 12700 zote wakawa wananidai, wakaniitia police nafikiri ni police wanayemjua, kuja akaniambia unataka starehe wakati huna pesa, police ilipelekwa na deni nililipa, nakumbuka siku ile nilipanda daladala mpaka mabibo huku sina nauli, konda akanikoromea akanisamehe, Aiseee hizo saloon ni hatari kama hamjapatana malipo, sikuile nilidhalilika sana
Pole sana man, sa ulilipaje akat ulikuwa na elf12700 tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa naingia saloon simple tu. Nikiona saloon ina mambo meeengi naipitia mbali. Na nikifika huwa nanyoa nywele na ndevu tu bei haizidi 5000/-.
Nikimaliza huwa wanajipendekeza njoo tukufanyie scrub nawaambia huwa sifanyi scrub, utasikia basi njoo tukuoshe nawaambia sioshi naenda nyumbani kuoga.
Sasa hivi washanizoe nanyoa na kusepa!
Ww km mm, ila mm nywele buku na ndevu jero, jumla 1,500... ctaki ushambenga kbs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilipoanza kuona hizi saloon nilikuwa naogopa kushikwa na mdada nafikiri yalikuwa mambo YA o level na utoto..... Sasa nimeshakuwa jibaba siku moja natoka chuo nikasema ngojea niingie Big respect Tabata... Kweli bhana wadada wanakuchezea ukiwa na minyege au mzee wa chaputa wazungu lazima watoke........ Waliponimaliza walinipa bili YA 30k kwa sababu YA aibu nililipa sikuweza kubishana na manzi na wala sikujua amejumlisha vipi hadi kapata 30k kwa sababu alishanishika shika shingon, kifuan, masikion ilikuwa raha Sana.... Ila kuanzia siku ilee nanyolea saloon isiyokuwa na mwanamke nikikuta mwanamke nasepa sipendi mambo YA kijingaaaaaaa
 
Hahaha kuna kamoja kalinifanyia scrub kananishushia pumzi kali kananuka mdomo aisee basi tu nilikastahi ila sio poa mi huwa naenda moja kwa moja kwenye ninachotaka na bei mwisho huwa ni 5000

Sent using Jamii Forums mobile app

Kweli Bongo ni habari nyingine, nasikia wanakufanyia masanji mpaka maeneo hatarishi alafu wanakuambia kama utahitaji huduma nyingine wanakutajia bei!! Kama umeenda na ukame wako hapo kwishnei.
 
Back
Top Bottom