Tahadhari: Utapeli huu saluni za kiume bongo haukubaliki

Poleni sana mnaofata huduma za ziada, me nadhani njia nzuri ya kuondoa matatizo hayo yote we ukifika ulizia kunyoa bei gani huduma zingine sihitaji au labda kama nitahitaji nitaulizia bei yake, sasa ukiona ni ushamba kuulizia ndio mwisho wa siku unaletewa bill ya kijinga jinga kama hiyo hivi uswa huu kweli uende salon wanakucharge elfu 80 :(:(:( tena salon a kiume hata ukimwambia mtu si atashangaa kulikuwa na huduma gani hizo mpaka hiyo bei ifike?
 
Back
Top Bottom