metatron
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 552
- 274
Asante Sana mkuu ila pia nimeona uzi Analalamikiwa Mtu mzito huko.Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF.
Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwaanika (tutaanzisha thread maalum kwa ajili ya hili).
Nisisitize, IWENI MAKINI NA MATAPELI!